Sioni Lissu akiachiwa na Samia..na issue ni Samia kashatiwa uoga

Asipo mwachia atakufa atamuacha.
 
Kwani Uganda waliua watu kwenye uchaguzi? Hii ngoma haiishi mpaka iishe!
Kenya baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2007 watu kibao waliuwawa na Kenyatta na Ruto walipelekwa The Hague. Unachojua kilichotokea? Wote wakaishia kuwa Marais wa Kenya! Wale wanaharakati akina Mzee Raila ?RIP), Martha Karua mpaka leo wamebaki kupiga kelele!
 

Kesi ipo Mahakamani
mnamwachia kwa msingi upi sasa wa kisheria au ??

Mwacheni mwenyewe bado anaweza kukunja ngumi 👈

na pia yeye ni Msomi mkubwa wa Sheria 👈

ngoma ipo Mahakamani tatizo linatokawapi👈

Basi mwambieni uyo Lissu achutame hamtaki napo ❗️

Lengo lenu nini wacheni Sheria isonge mbele👈

Kuna Mashekh wale tena sio mmoja walitulizwa kwa miaka 8 na Taifa lilisonga👈

Uyu muhuni mmoja tu familia yake kaificha majuu kwann tukose
usingizi🤠
 
Yule babu alishasema,kama CHADEMA hawataki maridhiano Lissu ataozea gerezani.
Sasa kwa kuwa Lissu alishaamua lo lote liwe,ni kumwachia Mungu.
 
Ninavyo mchukia Samia,hata kwenye kaburi lake nitanyea mzigo

Badala ya kuwaza kamwambia Lissu hachutame na kuacha kukunja ngumi 👈

Haki mbinguni sio Duniani👈
Kama vip mwacheni avimbe nyuma ya Nondo ✍️
 

..kesi ni ya uongo.

..sio sawa kutumia madaraka vibaya kufungulia watu usiowapenda kesi za uongo.

..halafu kesi ikifika mahakamani unaishinikiza mahakama ikiuke taratibu zake.

..mazingira hayo ndio yanayopelekea watu wa ndani na nje watoe mashinikizo kuwa kesi ifutwe.
 
Usiwe na hofu. Samia hafiki huko na wala Tanzania haitakuwa Uganda.

Inaeleweka sana, kwamba mfano unaotumika ni wa huyo Mseveni, tokea na kabla ya uchaguzi na mauaji. Wamenakili kila kitu. Na ingekuwa ni kwa utashi wao, Samia asingeondoka hata hiyo 2030 ikiwadia.

Samia siyo Museveni.
 
Anachosema mleta mada ni kuwa yote hayo unayoeleza ni kweli kabisa; lakini Samia kishafika hatua ya kupuuza ukweli.
Samia hatomwachia Tundu Lissu bila ya shurubu toka kwa waTanzania.
Na pia naamini sasa, kwamba hiyo 2030 inayozungumziwa, hicho ni kiini macho tu. Samia hatoki bila ya kuondolewa kwa nguvu; kama ilivyo Genge na CCM vilevile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…