Sioni maana ya sherehe za uhuru wa Tanganyika, nguvu zihamishiwe kusherekea muungano wa Tanzania

Sioni maana ya sherehe za uhuru wa Tanganyika, nguvu zihamishiwe kusherekea muungano wa Tanzania

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Tanganyika ipo wapi?

Kuna umuhimu wa kusherekea uhuru wa nchi ambayo haipo kiuhalisia?

Jambo la hekima tusherekee vinavyohusiana na Tanzania, vingine hivi vidogo vidogo ama ambavyo havipo vibaki tu kwenye vitabu.
 
Back
Top Bottom