Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Mambo yote anayokosoa msigwa katika chama alichotoka kukihama kwa mtu mwenye akili timamu sioni hoja za msingi kuwaaminisha watu kuwa chadema ni chama dhaifu ni chama gani kwa sasa hii utakipima kwenye mzani kikawa sawa na chadema kwa sera
Sera za ccm miaka nenda rudi ni zile zile tumejenga Barabara ni tofauti kabisa na chadema sera zake zimelenga kutengeneza mfumo mzima wa uongozi kwa kupigania katiba mpya
Msigwa akumbuke ameaminiwa na chama kuwa kwa miaka 10 kuwa mbunge na kuwa mwenyekiti wa Kanda ya nyasa mambo yote unayokosoa wewe ni mambo ya ndani kabisa ya chama sio madhaifu ya chama nazani hata wananchi hawakuelewi na wanaccm pia hawakuelewi
Umri wako huo sio wakutumika kuchafua watu lakini sababu wamekudharau hiyo nafasi ingefaa zaidi kwa kijana Uvccm age late 40 wewe Mzee inatakiwa kuondoka kwa heshima huku ukiendelea kukijenga chama chako ulichohamia