Pre GE2025 Sioni madhaifu ya CHADEMA kwa hoja za Mchungaji Msigwa

Pre GE2025 Sioni madhaifu ya CHADEMA kwa hoja za Mchungaji Msigwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu Msigwa hivi kweli ni mchungaji ambaye anaendesha huduma ya kiroho ambayo ina wafuasi nyuma yake!?

Kama ni hivyo basi atakuwa ni kiongozi wa kiroho wa hovyo kabisa na tena asiyeaminika. Yaani kwa kukosa tu uongozi ndani ya CDM, basi imeshakuwa nongwa.

Kama angalishinda uchaguzi ule, ina maana kuwa angalikuwa na kauli kama hizi za kipropaganda. Atambue tu kuwa kwa CCM hii,
a. He has already been used
b. He is now misused.
c. Very soon he will be abused.
d. Finally, he will be left alone and become confused

Shetani siku zote hana rafiki.
Namfahamu in _out, harakati zake za siasa najua alipoanza 2005 alimsema sana jakaya asipitishwe kwa kuwa ni mdini.
Mimi binafsi tulipingana kuhusu hilo japokuwa sikuipenda ccm ila jakaya nilimtetea.
Wakati huo anauza apples kwenye kiduka ambacho hata kodi yake anadaiwa hadi leo.
Kama uongo mpangaji wake alikua shirika flan la hifadhi ya jamii.
Anaweza kututhibitishia hilo.
Pia hana maadili ya kichungaji.
Narudiq tena amekula sana kondoo wake akiwamo shopkeeper wake
 
Lengo kuu la kuja Duniani ni kuzisaka hela, mengine ni mbwembwe tu. Pesa pesa pesa
 
Back
Top Bottom