OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mda si mrefu hilo goli 1 mtakua mnalitafuta kwa tochi.Msimu huu yanga hayupo kucheza mpira wa show yeye lake ni moja point 3 tu, hayo mengine amemwachia simba na azam ndo wakazania kufurahisha mashabiki kwa kupiga chenga mpaka golini na kurudisha mpira nyuma
Nipo hapa kwenye kibanda umiza na jamaa wawili watatu tunatazama mpira wa Yanga na Lipuli. Kwa kweli Yanga ni tia maji tia maji. Mpaka sasa dakika ya 65 wana goli 1 tu.
Mpira umepoa sana,mtangazaji anajitahidi kupamba lakini wapi mpira mwingi hauonekana. Nimejikuta natafakari hivi kati ya hawa vijana wa Yanga wanaorukaruka humu kuna hata mmoja anayeweza kupata nafasi Club kubwa Simba SC?
Binafsi sioni iwe ni hawa wa ndani,benchi au hata jukwaani. Simba imejaa vipaji na wapambanaji. Hawa Yanga sijui wanachezaje hakuna mishe kabisa. Wapo vijana wawili watatu kama Yondani na Fei Toto wanajitahidi lakini bado sioni kama mtu wa kumweka benchi Simba.
Subiri uone refa akimaliza mpira ama yanga kuongeza au kuishia hapo, hiyo ndo yanga yenyewe ni point 3 tu goli nyingi kucheza vizuri siyo kipaumbele cha msimu huuMda si mrefu hilo goli 1 mtakua mnalitafuta kwa tochi.
Wameisha anza na oral ya kurudisha maji mwilini inaelekea kuisha sijui itakuwajeMbumbumbu mmeanza kuharisha
Tutajie mchezaji wa Yanga anayeweza hata kukaa benchi ya Simba. Acha keleleMbumbumbu mmeanza kuharisha
Mimi nazungumzia ufundi wa wachezaji wewe unapost mahaba ya Haji. Kama ni mahaba hata mimi nina mahaba na Niyonzima. Lakini najua hana uwezo wa kumuweka benchi Chama au DilungaManara ashasema levo zao ni za kucheza europe na si simba View attachment 916440View attachment 916441
Ngoja waanze kutoka kwenda mikoani tena na kifuku hiki wakakumbane na vichuguuMkuu huku 'kwetu' hawa Yanga tunawahesabia mechi kadhaa tu, wanakata pumzi.
Na hapo ndipo litakapokua anguko lao kuu kwa wachezaji kutolipwa mishahara, mashabiki kushinikiza uchaguzi, viongozi kung'ang'ania madaraka n.k
Vyura mmekuja kuzoa?Mbumbumbu mmeanza kuharisha
Umeulizwa mchezaji wa Yanga anayeweza kupata namba Simba Sc. Wabongo bana tantalila sanaMko nafasi ya ngapi, wenzenu wameshaua timu B yenu