Sioni mchezaji wa Yanga SC anayeweza kupata namba Simba SC

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Nipo hapa kwenye kibanda umiza na jamaa wawili watatu tunatazama mpira wa Yanga na Lipuli. Kwa kweli Yanga ni tia maji tia maji. Mpaka sasa dakika ya 65 wana goli 1 tu.

Mpira umepoa sana,mtangazaji anajitahidi kupamba lakini wapi mpira mwingi hauonekana. Nimejikuta natafakari hivi kati ya hawa vijana wa Yanga wanaorukaruka humu kuna hata mmoja anayeweza kupata nafasi Club kubwa Simba SC?

Binafsi sioni iwe ni hawa wa ndani,benchi au hata jukwaani. Simba imejaa vipaji na wapambanaji. Hawa Yanga sijui wanachezaje hakuna mishe kabisa. Wapo vijana wawili watatu kama Yondani na Fei Toto wanajitahidi lakini bado sioni kama mtu wa kumweka benchi Simba.
 
Mkuu huku 'kwetu' hawa Yanga tunawahesabia mechi kadhaa tu, wanakata pumzi.

Na hapo ndipo litakapokua anguko lao kuu kwa wachezaji kutolipwa mishahara, mashabiki kushinikiza uchaguzi, viongozi kung'ang'ania madaraka n.k
 
Ila tuache Unafiki, Zahera ni mzuri sana hasa kusoma mbinu za Mpinzani na kuzitafutia mbinu mbadala naweza kumfananisha na Marehemu Mzee James Siang'a. Angekuta kile kikosi cha Ngoma, Tambwe, Chirwa, Bossou nk pangechimbika basi tu sasahiv kakutana na Akina Mhilu na Matteo ataishia kunawa msosi hauoni lkn kocha safi.
 
Nipo hapa kwenye kibanda umiza na jamaa wawili watatu tunatazama mpira wa Yanga na Lipuli. Kwa kweli Yanga ni tia maji tia maji. Mpaka sasa dakika ya 65 wana goli 1 tu.

Mpira umepoa sana,mtangazaji anajitahidi kupamba lakini wapi mpira mwingi hauonekana. Nimejikuta natafakari hivi kati ya hawa vijana wa Yanga wanaorukaruka humu kuna hata mmoja anayeweza kupata nafasi Club kubwa Simba SC?

Binafsi sioni iwe ni hawa wa ndani,benchi au hata jukwaani. Simba imejaa vipaji na wapambanaji. Hawa Yanga sijui wanachezaje hakuna mishe kabisa. Wapo vijana wawili watatu kama Yondani na Fei Toto wanajitahidi lakini bado sioni kama mtu wa kumweka benchi Simba.

sawa...
 
Mda si mrefu hilo goli 1 mtakua mnalitafuta kwa tochi.
Subiri uone refa akimaliza mpira ama yanga kuongeza au kuishia hapo, hiyo ndo yanga yenyewe ni point 3 tu goli nyingi kucheza vizuri siyo kipaumbele cha msimu huu
 
Manara ashasema levo zao ni za kucheza europe na si simba sasa kati ya simba na europe wapi pakubwa
FB_IMG_15409217834389484.jpg
Screenshot_2018-10-30-20-45-09-1.jpg
 
Mkuu huku 'kwetu' hawa Yanga tunawahesabia mechi kadhaa tu, wanakata pumzi.

Na hapo ndipo litakapokua anguko lao kuu kwa wachezaji kutolipwa mishahara, mashabiki kushinikiza uchaguzi, viongozi kung'ang'ania madaraka n.k
Ngoja waanze kutoka kwenda mikoani tena na kifuku hiki wakakumbane na vichuguu
 
Back
Top Bottom