Sioni mchezaji wa Yanga SC anayeweza kupata namba Simba SC

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watavuna mchwa
Msemo huo wa waanze kutoka nje utayeyuka kama ulivyoyeyuka msemo wa watashuka daraja wasiwasi mkubwa ni pale misemo yoote itapotea na kuibuliwa msemo wa kukata rufaa
 
Tatizo la Simba ni kutamani kuiua Yanga tu. Yaani hawajui kama kuna timu nyingine Tz bali Yanga tu. Watatoa kila dau wawanunue hao wachezaji wa Yanga ili iwe dhaifu tu. Wanaenda kila penye mganga ili kuiloga Yanga.
Mna nini nyiye?? Mpira wa kulogana leo karne hii?? Chezeni mpira acha kutamba ati wamefungwaaa. Ona wenzenu mnaoona hawana wachezaji. Wanajikusanyia mapoints sasa hadi wanajionea fahari. Wewe uliyewanunua wachezaji wake mbona unashika mkia?? Only in Tz watu wanaona fahari kupiga chenga zisizo na faida. Mliwafunga wengine sijui goli 5 lakini mjue mlitoka tu na points 3. Yanga wamefunga goli moja wakatoka na points 3. Nnani zaidi??
 
Wapate namba au kukaa benchi la Simba kwani wao ni wachezaji wa Simba? Yanga ikiwa na wachezaji wanaoonekana wa kawaida inafanya vizur sasa ikiwa na wachezaji mnaowataka si mtarudi matopeni tena kwa miaka 5 tena?
 
Hebu wataje hao wachezaji mkuu. Maana mimi sioni hata mchezaji mmoja.

Inaelekea Simba wanachukizwa sana na ushindi wa Yanga...Pele aliwahi kusema 'mpira ni magoli siyo nakshi'...Sasa Yanga wanashinda hata kama ni kagoli kamoja ...Nimeangalia clip magoli ya mchezaji mmoja anaitwa, nimeshangaa mno...yaani wapo wachezaji wa timu mbili au tatu hivi ni kama wameambiwa wasiwe wanamkaba...he is just left alone...No one is covering him..kwa baadhi yetu ambao tumecheza mpira na hata kuongoza ni wazi the whole thing is fishy...there is something going on...anyway tusubiri tuone baada ya mechi 15 hivi hali itakuwaje...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…