chilonge
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 1,531
- 2,912
Hebu wataje hao wachezaji mkuu. Maana mimi sioni hata mchezaji mmoja.Kuna wachezaji wawili au watatu tu wa Yanga wanaoweza kupenya kwenye bench la Simba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu wataje hao wachezaji mkuu. Maana mimi sioni hata mchezaji mmoja.Kuna wachezaji wawili au watatu tu wa Yanga wanaoweza kupenya kwenye bench la Simba.
Tuseme hata wana Yanga mmekiri mchezaji wa kupata namba Simba hayupo?Mwisho wa siku kila mechi pointi tatu wanachukua. Hapa nilipo niko juu yenu kipoint naweza kukojolea mwana simba.
Hayo linganishianeni huko na wakina azam, mbao , mtibwa na wengine, madude hayo yanga hayajui labda uzungumzie mambo ya point 3Tuseme hata wana Yanga mmekiri mchezaji wa kupata namba Simba hayupo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watavuna mchwaNgoja waanze kutoka kwenda mikoani tena na kifuku hiki wakakumbane na vichuguu
Kwani wewe unaona mchezaji gani wa simba anaweza kupata namba YANGA?Tutajie mchezaji wa Yanga anayeweza hata kukaa benchi ya Simba. Acha kelele
Jaribu kurudisha kumbukumbu tarehe 30.Tuseme hata wana Yanga mmekiri mchezaji wa kupata namba Simba hayupo?
Umesema kweli....Sio tu kupewa namba bali Hata benchi hawezi kuwekwa
Yanga iliyo drow na simba au.Kwa mchezo huu Yanga walivyocheza dhidi ya Lipuli FC..Yanga ni timu mbovu sana....
Msemo huo wa waanze kutoka nje utayeyuka kama ulivyoyeyuka msemo wa watashuka daraja wasiwasi mkubwa ni pale misemo yoote itapotea na kuibuliwa msemo wa kukata rufaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watavuna mchwa
Wanasema eti uwanjani shabiki ni mchezaji wa 12....nakuambia hivi, wachilia mbali kuwaweka benchi hata kuwafanya washangiliaji ni kupoteza muda na rasilimali sautiSio tu kupewa namba bali Hata benchi hawezi kuwekwa
Maneno ya wakosaji. Kumbuka niko juu yako kipoint. Nina uwezo wa kukukojolea hapa nilipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]natania tu mjombaGoli lenyewe offside yan siku hizi tiefuefu wameamua kuweka vibendela mashabik wa yanga tupu
Maneno ya wakosaji. Kumbuka niko juu yako kipoint. Nina uwezo wa kukukojolea hapa nilipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]natania tu mjomba
Jamaa anachekesha huyuKwani wewe unaona mchezaji gani wa simba anaweza kupata namba YANGA?
Hebu wataje hao wachezaji mkuu. Maana mimi sioni hata mchezaji mmoja.
Siyo tu bench hata kufikiliwa kuwa simba inamtaka sijui kama inaweza kutokeaSio tu kupewa namba bali Hata benchi hawezi kuwekwa