HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
Wewe sio mdau wa soka na ndio maana hujui hata maana ya offside, kwako wewe mtu akiwa mbele tu ni offside bila hata kujua wakati mpira unapigwa alikuwa wapi. Mfungaji alikuwa kwenye movement akawazid mabeki 2 na kufunga sasa hiyo offside iko wapi?.Ongea kama mdau wa soka sio kishabiki ukitaka ushabiki hata me naweza goli umeliona kwanza au unabisha tyu
Okwi hakabwi?muone huyu,mbona Yanga mlimganda na bado akawafunga goli moja kama sio mwamuzi kufanya ujinga ujinga. Wakati unasubiri mechi 15 utakuta Okwi ana magoli 30Inaelekea Simba wanachukizwa sana na ushindi wa Yanga...Pele aliwahi kusema 'mpira ni magoli siyo nakshi'...Sasa Yanga wanashinda hata kama ni kagoli kamoja ...Nimeangalia clip magoli ya mchezaji mmoja anaitwa, nimeshangaa mno...yaani wapo wachezaji wa timu mbili au tatu hivi ni kama wameambiwa wasiwe wanamkaba...he is just left alone...No one is covering him..kwa baadhi yetu ambao tumecheza mpira na hata kuongoza ni wazi the whole thing is fishy...there is something going on...anyway tusubiri tuone baada ya mechi 15 hivi hali itakuwaje...
Hawa wachezaji wanaoweza kusajiriwa na Yanga dirisha dogo watakuwa wanafundishwa na Mwinyi?huyo Chirwa anayepigiwa chapuo anafundishwa na Mwinyi. Hakuna cha ushabiki,tuseme inferiority complex inakuingia. Swali langu linaelewekaShida mleta mada kaileta kishabiki kama siyo kinazi. Kiufundi hakuna mchezaji wa Yanga atafit Sumba kwa sasa, vivyo hivyo hata Simba hakuna mchezaji atafit kwenye timu ya Yanga kwa maana hizi timu mbili zinafundishwa na walimu tofauti wenye falsafa mbili tofauti. Labda ingewezekana kama hizi timu zingekuwa na mwalimu mmoja na falsafa moja. Na ndiyo maana mchezaji hawezi sajiliwa Leo hii na akapangwa kwenye mechi ya mashindani, ni lazima benchi LA ufundi litengeneze chemistry ambayo Huyo mchezaji mpya atakuwa amefit in. Wakati mwingine tunavyo leta mada hapa jukwaani, hebu tujaribu kuweka ushabiki mandazi pembeni. Ni hayo tu kwa Leo.
Hahaha nausubiri kwa hamu ule mwezi wa kwenda FIFA.Msemo huo wa waanze kutoka nje utayeyuka kama ulivyoyeyuka msemo wa watashuka daraja wasiwasi mkubwa ni pale misemo yoote itapotea na kuibuliwa msemo wa kukata rufaa
Kama we we siyo shabiki mandazi uliishawahi kujiuliza kwa nini Dan Serunkuma aliyesajiliwa na Simba kipindi hicho alishindwa kuwika hapa wakati akiwa huko Kenya alikuwa hakanatiki? Ukijibu swali hill kwa usahihi utajuwa na kuelewa ninachomaanisha, otherwise bora nikae tu kimya. Kifupi hats Hugo Kagere kwa Yanga anaweza onekana si lolote, hats Okwi alisajiliwa kwa Waharabu na Yanga pia tulimsajili kipindi Fulani hila hakaonekana hana msaada kwa timu husika, ila kwa Simba kwa sababu ya falsafa anafit in moja kwa moja. Nadhani umenielewa mkuu.Hawa wachezaji wanaoweza kusajiriwa na Yanga dirisha dogo watakuwa wanafundishwa na Mwinyi?huyo Chirwa anayepigiwa chapuo anafundishwa na Mwinyi. Hakuna cha ushabiki,tuseme inferiority complex inakuingia. Swali langu linaeleweka
Mbona hatuelwani Okwi hata akifunga magoli zaidi ya 100 hakuna shida yanga inaangalia point 3 tu kwa kila mechi akikufunga moja ukirudisha atakufunga la pili usiporudisha ataishia hapo, uwingi wa magoli siyo kipaumbele chakeOkwi hakabwi?muone huyu,mbona Yanga mlimganda na bado akawafunga goli moja kama sio mwamuzi kufanya ujinga ujinga. Wakati unasubiri mechi 15 utakuta Okwi ana magoli 30
Kama we we siyo shabiki mandazi uliishawahi kujiuliza kwa nini Dan Serunkuma aliyesajiliwa na Simba kipindi hicho alishindwa kuwika hapa wakati akiwa huko Kenya alikuwa hakanatiki? Ukijibu swali hill kwa usahihi utajuwa na kuelewa ninachomaanisha, otherwise bora nikae tu kimya. Kifupi hats Hugo Kagere kwa Yanga anaweza onekana si lolote, hats Okwi alisajiliwa kwa Waharabu na Yanga pia tulimsajili kipindi Fulani hila hakaonekana hana msaada kwa timu husika, ila kwa Simba kwa sababu ya falsafa anafit in moja kwa moja. Nadhani umenielewa mkuu.Hawa wachezaji wanaoweza kusajiriwa na Yanga dirisha dogo watakuwa wanafundishwa na Mwinyi?huyo Chirwa anayepigiwa chapuo anafundishwa na Mwinyi. Hakuna cha ushabiki,tuseme inferiority complex inakuingia. Swali langu linaeleweka
Hili suala halina mjadala kabisa.Hata kocha wa simba alipoulizwa juu ya kumsajili Ajibu alisema hajaona mchezaji wa yanga kuweza kuja simba na kupata namba
Okwi hakabwi?muone huyu,mbona Yanga mlimganda na bado akawafunga goli moja kama sio mwamuzi kufanya ujinga ujinga. Wakati unasubiri mechi 15 utakuta Okwi ana magoli 30
Okwi hakabwi?muone huyu,mbona Yanga mlimganda na bado akawafunga goli moja kama sio mwamuzi kufanya ujinga ujinga. Wakati unasubiri mechi 15 utakuta Okwi ana magoli 30
Alisema mpira ni 'MAGOLI' na sio 'GOLI'Inaelekea Simba wanachukizwa sana na ushindi wa Yanga...Pele aliwahi kusema 'mpira ni magoli siyo nakshi'...Sasa Yanga wanashinda hata kama ni kagoli kamoja ...Nimeangalia clip magoli ya mchezaji mmoja anaitwa, nimeshangaa mno...yaani wapo wachezaji wa timu mbili au tatu hivi ni kama wameambiwa wasiwe wanamkaba...he is just left alone...No one is covering him..kwa baadhi yetu ambao tumecheza mpira na hata kuongoza ni wazi the whole thing is fishy...there is something going on...anyway tusubiri tuone baada ya mechi 15 hivi hali itakuwaje...
Hahaha.. Ni sahihi.Alisema mpira ni 'MAGOLI' na sio 'GOLI'
Umekuwa mpiga ramli eheMkuu huku 'kwetu' hawa Yanga tunawahesabia mechi kadhaa tu, wanakata pumzi.
Na hapo ndipo litakapokua anguko lao kuu kwa wachezaji kutolipwa mishahara, mashabiki kushinikiza uchaguzi, viongozi kung'ang'ania madaraka n.k
Alisema mpira ni 'MAGOLI' na sio 'GOLI'
Ndiyo kazi inayoniweka mjini.Umekuwa mpiga ramli ehe
unakumbuka msimu uliopita hamkuwafunga LipuliKwa mchezo huu Yanga walivyocheza dhidi ya Lipuli FC..Yanga ni timu mbovu sana....