HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
Wewe sio mdau wa soka na ndio maana hujui hata maana ya offside, kwako wewe mtu akiwa mbele tu ni offside bila hata kujua wakati mpira unapigwa alikuwa wapi. Mfungaji alikuwa kwenye movement akawazid mabeki 2 na kufunga sasa hiyo offside iko wapi?.Ongea kama mdau wa soka sio kishabiki ukitaka ushabiki hata me naweza goli umeliona kwanza au unabisha tyu
Kwa maelezo zaid muone Mwl. Kashasha akufafanulie.