Sioni mchezaji wa Yanga SC anayeweza kupata namba Simba SC

Hata simba tungecheza taifa mechi 9 tusingepoteza hata moja ona Tangu tumetoka mkoani tumevuna points ngpi?shida ya hizi timu zetu ni nje ya Dar mkuu sasa ww kwahyo style yko sijui HIFADHI MANENO YANGU
Ndivyo unavyojidanganya mkuu?
Wakati huohuo umesahau simba msimu uliopita haikufungwa popote nje ya dar lkn ikaja kula kichapo taifa.?
 
Yanga wanamfunga USM Algiers..mnaongelea Alliance na Ruvu shooting...Mikia day walikuja wale Asante Kotoko B jasho liliwatoka mpaka coach wao akawaambia wasiharibu sikukuu yenu...
Wacha kutukumbusha aibu ya kupigwa bao 7-1 Na Gor Mahia.3-1 Dar na 4 mtungi Kenya.
Umefungwa tena nyumbani na vibonde Township Rollers bado una ujasiri wa kukumbusha?
Ndio timu pekee kwenye kundi iliyofungwa home and away licha ya kuwa wa mwisho.
 
Ndivyo unavyojidanganya mkuu?
Wakati huohuo umesahau simba msimu uliopita haikufungwa popote nje ya dar lkn ikaja kula kichapo taifa.?
Walikuwa wameshakuwa mabingwa. Tena walichukua ubingwa baada ya kuwafunga Singida United goli 1 huko Namfua Stadium.
 
Kwa arguments kama hizi ninazoshuhudia hapa, Mpira wa nchi hii bado tunayo safari ndefu sana. Sijui ni nani atakayebadilisha mindset zetu, tukaacha ushabiki wa kamandazi usio na chembe ya uhalisia.
 
Mkuu, kazi yetu na kuchukua point. Tuonane mwisho wa msimu.
 
Ikitokea kila mechi iliyombele ya yanga na simba wakashinda zote isipokuwa wakadroo marudiano nani hayo magori yatasaidia wapi?, msimu huu magoli hayana nafasi ni point tu. Huu usije ukawa mwanzo wa nyinyi kuanza kupinga ushindi wa yanga huko mbele
 
Ata wao awataki kuchezea Simba ndio maana wapo Yanga
 
Simba hawatakuelewa hapa zaidi watakwambia umeenda kwa mganga
 
Simba hawatakuelewa hapa zaidi watakwambia umeenda kwa mganga
Simba hawatakuelewa hapa zaidi watakwambia umeenda kwa mganga

Hao chini ndiyo walozi wakubwa, na ndiyo wsnaofanya mpira wa nchi hii hsusongi mbele. Kama unabisha basi Bali hivyohivyo. Wahabudu mizimu a.k.a Mikia fc
 
Attachments

Kuna kocha msimu uliopita walipocheza ugenini alianza kupagawa na kulalama "wapo zaidi, wapo zaidi refa wapo zaidi."
Ligi bado mbichi acheni mdomo.
 
Hao chini ndiyo walozi wakubwa, na ndiyo wsnaofanya mpira wa nchi hii hsusongi mbele. Kama unabisha basi Bali hivyohivyo. Wahabudu mizimu a.k.a Mikia fc
Toka enzi za Bamchawi, ndiyo kazi yao hiyo. Bila uchawi hawachezi hata wasajili vipi.
 
Kuna kocha msimu uliopita walipocheza ugenini alianza kupagawa na kulalama "wapo zaidi, wapo zaidi refa wapo zaidi."
Ligi bado mbichi acheni mdomo.
Dah siku zinaenda mnasema ligi bado mbichi mwisho wa siku mnaanza kutafuta ushindi wa mezani maana saizi hamtaki kutafuta ushindi mnakazana ligi bado mbichi kwani ligi ikikomaa zitaingia timu mpya kucheza ligi?, kama ni hizihizi nini kitabadirisha au usajiri mdogo utaruhusu timu zitoe wachezaji wote ziingize wapya?, baada ya yanga kutoa droo na simba sasa mmehamia kusema atakiona ugenini asipokiona ugenini si ndo mwanzo wenu wa kuzunguka na makaratasi mkononi?,
Hoja kuu mkisema:
1. Mna magoli mengi
2. Mmefanya usajiri mkubwa
3. Yanga hakufungwa ugenini
4. ...
 
eti yanga tia maji tia maji kwa kuwa kashinda goal moja....we ungekuwa na uwezo wa kushinda mengi si ungerudisha kale kabao kamoja ka mbao....eti unasingizia mbao alikuwa kwao ndio mana alishinda...teh teh teh mzee kujitetea kwa watoto....kwani mbona lipuli alishinda goals tatu zidi ya mbao na hapohapo uwanja wa ccm kirumba mwanza....yanga oyoooooooooooooooo................!
 
Pamoja na Hans Pope kupata lunch na Waamuzi jana, haikusaidia kitu.
Acha kuokoteza wachawi,kuza soka la timu yako. Tunazungumzia kiwango cha wachezaji wako wanarukaruka tu. Mbona Simba inafanyiwa mazengwe ya kunyimwa magoli lakini inatandaza kandanda murua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…