Sioni mchezaji wa Yanga SC anayeweza kupata namba Simba SC

Sioni mchezaji wa Yanga SC anayeweza kupata namba Simba SC

Mimi mwana simba ila yanga wapo wachezaji simba wanaweza kupata nafasi ila sizani kama itakuwa ya moja kwa moja wa Kwanza ni kipa Kakolanya,Gadiel michael,Toto kiungo mahiri na Yondani hao kwa nafasi zao wanaweza pata dakika za kucheza ila bado wanakazi ya ziada.
Labda huyo gadiel machael ndiye anaeweza akachukuliwa kuchezea simba kikosi B hao wengine ulio wataja wanaweza wakawa vizuri kwenye mchezo wa netball
 
Ikitokea kila mechi iliyombele ya yanga na simba wakashinda zote isipokuwa wakadroo marudiano nani hayo magori yatasaidia wapi?, msimu huu magoli hayana nafasi ni point tu. Huu usije ukawa mwanzo wa nyinyi kuanza kupinga ushindi wa yanga huko mbele
Hoja yako imejikita katika ndoto, na hapa hatuzungumzii mambo ya imaginations. msimu huu ndoto hazina nafasi hapa ni uhalisia tu, et yanga kila mechi iliyo mbele yake isifungwe [emoji23] [emoji23]

Taifa hapo mpo nyumbani lakini mnasumbuliwa goli moja lenyewe mnalipata kwa manati mkoani mtakuweza?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Dah siku zinaenda mnasema ligi bado mbichi mwisho wa siku mnaanza kutafuta ushindi wa mezani maana saizi hamtaki kutafuta ushindi mnakazana ligi bado mbichi kwani ligi ikikomaa zitaingia timu mpya kucheza ligi?, kama ni hizihizi nini kitabadirisha au usajiri mdogo utaruhusu timu zitoe wachezaji wote ziingize wapya?, baada ya yanga kutoa droo na simba sasa mmehamia kusema atakiona ugenini asipokiona ugenini si ndo mwanzo wenu wa kuzunguka na makaratasi mkononi?,
Hoja kuu mkisema:
1. Mna magoli mengi
2. Mmefanya usajiri mkubwa
3. Yanga hakufungwa ugenini
4. ...
Blah blah
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Dah siku zinaenda mnasema ligi bado mbichi mwisho wa siku mnaanza kutafuta ushindi wa mezani maana saizi hamtaki kutafuta ushindi mnakazana ligi bado mbichi kwani ligi ikikomaa zitaingia timu mpya kucheza ligi?, kama ni hizihizi nini kitabadirisha au usajiri mdogo utaruhusu timu zitoe wachezaji wote ziingize wapya?, baada ya yanga kutoa droo na simba sasa mmehamia kusema atakiona ugenini asipokiona ugenini si ndo mwanzo wenu wa kuzunguka na makaratasi mkononi?,
Hoja kuu mkisema:
1. Mna magoli mengi
2. Mmefanya usajiri mkubwa
3. Yanga hakufungwa ugenini
4. ...
Second blah blah
 
eti yanga tia maji tia maji kwa kuwa kashinda goal moja....we ungekuwa na uwezo wa kushinda mengi si ungerudisha kale kabao kamoja ka mbao....eti unasingizia mbao alikuwa kwao ndio mana alishinda...teh teh teh mzee kujitetea kwa watoto....kwani mbona lipuli alishinda goals tatu zidi ya mbao na hapohapo uwanja wa ccm kirumba mwanza....yanga oyoooooooooooooooo................!
Oyooooooooo Bakuli mbele nyuma mwiko
 
Wacha kutukumbusha aibu ya kupigwa bao 7-1 Na Gor Mahia.3-1 Dar na 4 mtungi Kenya.
Umefungwa tena nyumbani na vibonde Township Rollers bado una ujasiri wa kukumbusha?
Ndio timu pekee kwenye kundi iliyofungwa home and away licha ya kuwa wa mwisho.
matatizo ya ukata Yale..Ila Simba Mara ya mwisho na kwanza kucheza CAF Championship groups stage..ukinijibu natoka JF... mwaka gani vileee..Raisi Che Mkapa kama sijakosea..pathetic
 
Tshabalala ni habari nyingine.Beki zenye uwezo wa kupandisha mpira mbele kwa uhakika ni 3 tu hapa Bongo. Kapombe, Zimbwe na Kwasi. Niliwahi kuwataka Simba wampime huyu dogo kama anatumia madawa ya kuongeza nguvu. Siku hiyo akiwa nyuma alipiga mpira mbele akaufukuzia chini. Ule mpira ulivyotua akawa wa kuu-control.
Zimbwe winger tu ..hawezi kukaba kwa nguvu..kako delicate sana
 
Hiyo timu yako yenye wachezaji wazuri imeshacheza mechi ngapi na ina point ngapi?
Yanga hua inagawa dozi kulingana na hali ya mgonjwa,pia huwezi kuingia na shoka kwenye shamba la migomba.
Game ya watani wa jadi,hiyo timu yako ilishindwa hata kupata goli,yanga imesheheni mbinu,mpira mbinu,kuna game.unaingia kusaka ushindi goli 1/2 kuna game unasaka sare,point 3 unaenda kuzichukua kwa kibonde utakayekutana nae..
 
Ngasa ana magoli mengi CAF Championship na Timu ya Taifa kuliko mchezaji yeyote wa Mikia....
 
Eti mchezaji wa Yanga kupata namba Simba. Very funny indeed. Ligi inaendelea na msimamo wa ligi haudanyanyi.
 
Sasa mchezaji wa timu iliyoshinda mechi 8 Na kusuluhu Moja atachezaje timu imepigwa mechi Moja Na suluhu mbili? Ndio maana Rage aliwaita nyumbu ....twende Na Takwimu.sio kelele
 
Sasa mchezaji wa timu iliyoshinda mechi 8 Na kusuluhu Moja atachezaje timu imepigwa mechi Moja Na suluhu mbili? Ndio maana Rage aliwaita nyumbu ....twende Na Takwimu.sio kelele
Takwimu muhimu sana. Kelele nyingi na ligi yenyewe bado mbichi. Mara Kikosi cha billion. Haji siku hizi kawa kimya baada ya kutoka Central
 
Yaan, unaumiza kichwa chako kabisa kuzungumzia Yanga hali yakuwa unaifaham fika ni mbovu...
We achanayo Fanya mambo yako itakuumia kichwa hyo.Acha ukazuzu..
Au we ni Yanga B.. Maana kuna jamaa mmoja alisema ukiona MTU anaizungumzia sana yanga kwa maneno mengi ya kejeli basi ujue kabisa kuwa huyo ni Yanga B, maana kama sio Yanga kwann usizungumzie hyo timu inayoperform vzur kila kukicha...!!!!
 
Back
Top Bottom