Labda huyo gadiel machael ndiye anaeweza akachukuliwa kuchezea simba kikosi B hao wengine ulio wataja wanaweza wakawa vizuri kwenye mchezo wa netballMimi mwana simba ila yanga wapo wachezaji simba wanaweza kupata nafasi ila sizani kama itakuwa ya moja kwa moja wa Kwanza ni kipa Kakolanya,Gadiel michael,Toto kiungo mahiri na Yondani hao kwa nafasi zao wanaweza pata dakika za kucheza ila bado wanakazi ya ziada.
Hoja yako imejikita katika ndoto, na hapa hatuzungumzii mambo ya imaginations. msimu huu ndoto hazina nafasi hapa ni uhalisia tu, et yanga kila mechi iliyo mbele yake isifungwe [emoji23] [emoji23]Ikitokea kila mechi iliyombele ya yanga na simba wakashinda zote isipokuwa wakadroo marudiano nani hayo magori yatasaidia wapi?, msimu huu magoli hayana nafasi ni point tu. Huu usije ukawa mwanzo wa nyinyi kuanza kupinga ushindi wa yanga huko mbele
Blah blahDah siku zinaenda mnasema ligi bado mbichi mwisho wa siku mnaanza kutafuta ushindi wa mezani maana saizi hamtaki kutafuta ushindi mnakazana ligi bado mbichi kwani ligi ikikomaa zitaingia timu mpya kucheza ligi?, kama ni hizihizi nini kitabadirisha au usajiri mdogo utaruhusu timu zitoe wachezaji wote ziingize wapya?, baada ya yanga kutoa droo na simba sasa mmehamia kusema atakiona ugenini asipokiona ugenini si ndo mwanzo wenu wa kuzunguka na makaratasi mkononi?,
Hoja kuu mkisema:
1. Mna magoli mengi
2. Mmefanya usajiri mkubwa
3. Yanga hakufungwa ugenini
4. ...
Second blah blahDah siku zinaenda mnasema ligi bado mbichi mwisho wa siku mnaanza kutafuta ushindi wa mezani maana saizi hamtaki kutafuta ushindi mnakazana ligi bado mbichi kwani ligi ikikomaa zitaingia timu mpya kucheza ligi?, kama ni hizihizi nini kitabadirisha au usajiri mdogo utaruhusu timu zitoe wachezaji wote ziingize wapya?, baada ya yanga kutoa droo na simba sasa mmehamia kusema atakiona ugenini asipokiona ugenini si ndo mwanzo wenu wa kuzunguka na makaratasi mkononi?,
Hoja kuu mkisema:
1. Mna magoli mengi
2. Mmefanya usajiri mkubwa
3. Yanga hakufungwa ugenini
4. ...
Oyooooooooo Bakuli mbele nyuma mwikoeti yanga tia maji tia maji kwa kuwa kashinda goal moja....we ungekuwa na uwezo wa kushinda mengi si ungerudisha kale kabao kamoja ka mbao....eti unasingizia mbao alikuwa kwao ndio mana alishinda...teh teh teh mzee kujitetea kwa watoto....kwani mbona lipuli alishinda goals tatu zidi ya mbao na hapohapo uwanja wa ccm kirumba mwanza....yanga oyoooooooooooooooo................!
matatizo ya ukata Yale..Ila Simba Mara ya mwisho na kwanza kucheza CAF Championship groups stage..ukinijibu natoka JF... mwaka gani vileee..Raisi Che Mkapa kama sijakosea..patheticWacha kutukumbusha aibu ya kupigwa bao 7-1 Na Gor Mahia.3-1 Dar na 4 mtungi Kenya.
Umefungwa tena nyumbani na vibonde Township Rollers bado una ujasiri wa kukumbusha?
Ndio timu pekee kwenye kundi iliyofungwa home and away licha ya kuwa wa mwisho.
Zimbwe winger tu ..hawezi kukaba kwa nguvu..kako delicate sanaTshabalala ni habari nyingine.Beki zenye uwezo wa kupandisha mpira mbele kwa uhakika ni 3 tu hapa Bongo. Kapombe, Zimbwe na Kwasi. Niliwahi kuwataka Simba wampime huyu dogo kama anatumia madawa ya kuongeza nguvu. Siku hiyo akiwa nyuma alipiga mpira mbele akaufukuzia chini. Ule mpira ulivyotua akawa wa kuu-control.
HajielewiMtoa mada ni bolizozo anaishi maisha ya kusadikika
Kwani nikuulize mchezaji gani wa simba atapata namba yangaUnajitoa akiri wakati unaelewa kila kitu
Takwimu muhimu sana. Kelele nyingi na ligi yenyewe bado mbichi. Mara Kikosi cha billion. Haji siku hizi kawa kimya baada ya kutoka CentralSasa mchezaji wa timu iliyoshinda mechi 8 Na kusuluhu Moja atachezaje timu imepigwa mechi Moja Na suluhu mbili? Ndio maana Rage aliwaita nyumbu ....twende Na Takwimu.sio kelele
WatajeKuna wachezaji wawili au watatu tu wa Yanga wanaoweza kupenya kwenye bench la Simba.