thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Hawa jamaa wa upinzani ukiwaangalia body language na matamshi yao kwa ujumla ni watu ambao kila mmoja kuna kitu anachoamini kama kipaumbele chake kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu.hivyo msimamo wa pamoja kupambana na ccm haupo.
Hii inatokana na matokeo ya uchaguzi wa 2015, iliyopelekea CUF kufa kibudu.
Kwani chadema ilitumia fursa hiyo kujiinua na kuwa chama kikuu cha upinzani,
CHADEMA iliviragai vyama vya upinzani kisha kuviacha solemba,jeraha hili halitasahaulika kwa baadhi ya viongozi wa upinzani.
Ilipelekea mpaka Maalim Seif na Lipumba kufarakana ,ikizingatiwa ndio waasisi wa CUF.
Ninachokiona ni kwamba uchaguzi wa mwaka huu utafanyika kupitia tume ileile.
Muda wa kupata tume nyingine hautoshi kulingana na kazi za bunge
Naiona dhambi aliyoitenda CHADEMA kwa CUF ikimrudia.