Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikweli mkuuNdivyo ilivyo gawanya utawale, mbinu hiyo inakubalika sana tu duniani kote
Upo sahihi mkuu,jana imetokea tayariUkiangalia kwa umakini mkubwa utagundua kuwa hali hii inatokana na mipango mkakati ya CCM.
Huwa wanafanya mipago ya kuhakikisha wanawapata baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani kwa gharama yoyote Ile kabla ya uchaguzi,miaka zaidi ya mitano kabla.
Viongozi wanakuwepo pale Kama tv screen, remote wanakuwanayo CCM.
HUU NI UJASUSI WA KISIASA.
Hutengeneza mifarakano ya kuaminika kwa jamii
MFANO.
AUGUSTINE L MREMA
EDWARD LOWASA
NINAMASHAKA NA HILI LA MEMBE.
Muda utaongea
Sent using Jamii Forums mobile app