Ukiangalia kwa umakini mkubwa utagundua kuwa hali hii inatokana na mipango mkakati ya CCM.
Huwa wanafanya mipago ya kuhakikisha wanawapata baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani kwa gharama yoyote Ile kabla ya uchaguzi,miaka zaidi ya mitano kabla.
Viongozi wanakuwepo pale Kama tv screen, remote wanakuwanayo CCM.
HUU NI UJASUSI WA KISIASA.
Hutengeneza mifarakano ya kuaminika kwa jamii
MFANO.
AUGUSTINE L MREMA
EDWARD LOWASA
NINAMASHAKA NA HILI LA MEMBE.
Muda utaongea
Sent using
Jamii Forums mobile app