Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Simba labda wapite njia tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchawi anamjua mchawi mwenzakeHahahaa utakua huijui simba ww. Wale wapumbavu wana loga sana aisee.
MGC
Hapo kesho #SisiNiMashahidiTuu#Wajinga wachache hawajiulizi Nkana na Al Ahl walifungwa vipi mpaka Vita iwe ni miujiza
Hapo kesho #SisiNiMashahidiTuuMamruki hatutaki.. baki yanga , Simba kumejaa
Hapo kesho #SisiNiMashahidiTuuKajifunzeni kilingala ili baada ya mechi muomboleze pamoja.
Naona aibuKila la heri As vita club
Piga hao mkia Fc matopeni Fc
Wanaforce kiki halafu hawana bando
Sent using Jamii Forums mobile app from my iPhone 5s
Naona aibu
Mkuu aibu tupu mpaka sasa bado unaamini Draw? mpira acheze Simba matokeo upange wewe.....Ushindi wake mkubwa ni Draw. Na endapo atapita Basi Nitakuwa mshabiki wa Simba kwa Mwaka mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahadi ni deni, anza kutekeleza ahadi yako sasa.....Ushindi wake mkubwa ni Draw. Na endapo atapita Basi Nitakuwa mshabiki wa Simba kwa Mwaka mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole