Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jirani 😀 😀 😀Hana majibu, sidhani kama atapita tena mitaa hii [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti?.....Ushindi wake mkubwa ni Draw. Na endapo atapita Basi Nitakuwa mshabiki wa Simba kwa Mwaka mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hatuwataki walia njaa hawaAhadi ni deni, anza kutekeleza ahadi yako sasa
Na hizo kelele tulizipiga haswaaa jana na bado tunaendelea kutumia haki yetu ya msingi ya kushangilia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona hukuwa live mechi ya Lipuli Vs Yanga Fc....Dada am missing you![emoji8][emoji8][emoji8]
.....Ushindi wake mkubwa ni Draw. Na endapo atapita Basi Nitakuwa mshabiki wa Simba kwa Mwaka mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnarudi congo na vumbi lenu hahhahahah mmechezea kichapo cha mbwa koko
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo nafas imepita mbele ya ndala sc.....Ushindi wake mkubwa ni Draw. Na endapo atapita Basi Nitakuwa mshabiki wa Simba kwa Mwaka mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu kupitia comment zako nyingi sana juu ya Simba umeishia kuaibika.. Sasa ni wakati wakunyamaza tu wanaume wakiwa kaziniKila la heri As vita club
Piga hao mkia Fc matopeni Fc
Wanaforce kiki halafu hawana bando
Sent using Jamii Forums mobile app from my iPhone 5s