Sioni Namna gani Uhuruto wataishinda NASA

MkamaP

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2007
Posts
8,146
Reaction score
3,235
Kutokana na formation ya mchezo ilivyo uwanjani. Sioni namna gani Uhuru atapenyeza ktk huu uchaguzi , labda kwa gori la mkono. Yani kutoboa kwakwe ktk huu ulingo ni sawa na tembo kupita mlangoni kwa nyumba ya msonge.
 
Kutokana na formation ya mchezo ilivyo uwanjani. Sioni namna gani Uhuru atapenyeza ktk huu uchaguzi , labda kwa gori la mkono. Yani kutoboa kwakwe ktk huu ulingo ni sawa na tembo kupita mlangoni kwa nyumba ya msonge.

Humjui Uhuru wewe..yaani onjwang anakalishwa mapema sanaaaaa
 
Ndio utamu wa uchaguzi wa Kenya, yaani hamna uhakika wa ushindi hata kama wewe ni rais wa sasa. Hii inasaidia sana kwenye masuala ya maendeleo maana rais anaishia kupambana na kutia bidii katika utekelezaji wa manifesto au ilani ya chama chake.
Hamna kitu cha ovyo kama mfumo ambao kiongozi akishateuliwa na chama tawala anakua na uhakika wa kuwa rais, yaani kampeni zake zinakua maigizo tu kama vile kufanya push ups na kadhalika maana kwa vyovyote vile lazima ataibuka na ushindi na kutangazwa rais.
Kenya, lazima ulowe jasho, ubembeleze, ujieleleze hadi usikike...
 
If that's the case mbona nasikia toka nchi yenu imepata uhuru inaongozwa na makabila mawili tu? Ina maana hao wengine hawastahili kuwa marais au? Na kwanini zile figisu figisu zilitokea kwenye uchaguzi uliopita na watu kupoteza maisha siasa za afrika ngumu sana.
 
Tz mna kabila ngapi?Zote zimeongoza?Acha kuongea ujinga ukidhani unaonekana mjanja!
 
Naaaam swali makhiri, na mimi nimekaa mkao wakula, nasubiri jubu lake.
 
Pushups tena, kumbe ujumbe wote huu lengo ni kumnanga Magufuli na ccm. CCM ilikuwa na members wenye akili kushinda KANU, ni chama cha kijamaa since her genesis, ni chama kikongwe na experience kibao, chenu kilikuwa cha land grabbing opportunistics. So never compare our politics with yours.
 
~~~>>>Nawatakia kila la kher ktk Uchaguzi wenu..... Nawashauri msipigane tena.

Sent using Nokia toch......
 
Geza Ulole......... Tunaomba Update za matokeo ya huko

Sent using Nokia toch......
 
Bidii gani Uhuru aliitia ndani ya miaka mitano?? Hacha kutudanganya humu. MK254 upenda kutuonyesha kuwa mambo huko Kenya yako vizuri. Your busy swimming in a dirty pool pretending its not. Don't play with our mind. Uhuruto hawajafanya la maana in five years. Wanazidiwa na Kibaki mbali. Kilakitu Kenya ni ovyo. Migomo kwenye hospitali na vyuo. MK254 feelings za ukabila usizilete hapa. Go join Uhuru yupo busy na beer.
 
Huyu jamaa MK2......!?!! Waajabu kweli ajui CCM ndio kinawatengeneza Museveni, Kagame, Kabila, ANC South Africa na vyama vingi vinakuja kuchukua ujizi CCM kutoka Africa., CCM ni socialist party. Msitegeme upinzani kuchukua nchi TZ in fact upinzani wote TZ ni CCM B. Lowassa yupo Chadema kikazi zaidi kutoka CCM. Hivi kipindi Museveni anamwambia Magufuli kuwa TZ na UG ni mapacha alielewa maana yake??CCM kitakaa milele madarakani kama Museveni na ANC South Africa. Kinachofanyika nikubadili viongozi tu. Upinzani wa kweli uko ndani ya CCM. Ilani nzuri Niels ambayo kati ya vipaumbele inakuwa na kipaumbele kimoja cha msingi
 

Nilishakuambia mara kadhaa mimi siwezi kujadili mapicha ya siasa unayokusanya kwenye viblog na kujaza humu, njoo kitaalam nitakujibu.
 

Hilo la chama kuwa kikongwe na kung'ang'ania madaraka ndio imewaponza hadi leo bado mpo maskni ndani ya LDC. Japo kidogo Magufuli naona ameamua kutoendana na chama na anafanya yake, labda kwa style hiyo mtapiga hatua, tatizo amezungukwa na hao hao wanaotoroka na kukana vichwa vya treni bandarini..... Hehehe nyie kituko.
 
Hadi sasa ni cha kijamaa ama kijepari?


Kweli! Kwa uzoefu wa kuifisadi nchi na kuwalaghai wadanganyika, CCM is second to none!
Kuna watu kama wewe huwa wakiamua kusema ukweli wanamalizia kabisaa.Hapo sawa! Anavoisifu sisieumu huyo mburula utadhani ndo The Republican party yenyewe!Kumbe tu ni wale jamaa wa kuzungusha mwenge na kupiga promo za kishirikina na nguvu za giza!
 
Wewe nimmoja wa wale wa Kikuyu mwenye matatizo ya akili hapo Kenya
 
Nilishakuambia mara kadhaa mimi siwezi kujadili mapicha ya siasa unayokusanya kwenye viblog na kujaza humu, njoo kitaalam nitakujibu.
Hivi wewe hapo Kenya unautaalamu gani wakuniambia mimi zaidi ya huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…