Ndio utamu wa uchaguzi wa Kenya, yaani hamna uhakika wa ushindi hata kama wewe ni rais wa sasa. Hii inasaidia sana kwenye masuala ya maendeleo maana rais anaishia kupambana na kutia bidii katika utekelezaji wa manifesto au ilani ya chama chake.
Hamna kitu cha ovyo kama mfumo ambao kiongozi akishateuliwa na chama tawala anakua na uhakika wa kuwa rais, yaani kampeni zake zinakua maigizo tu kama vile kufanya push ups na kadhalika maana kwa vyovyote vile lazima ataibuka na ushindi na kutangazwa rais.
Kenya, lazima ulowe jasho, ubembeleze, ujieleleze hadi usikike...
Elimu elimu elimu ndio tumekosa wengi wetu huku Ka sivyo tungekua mbali sana