Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Saido wa nini? Huyo ni sawa na andazi kwa watu wanaoujua mpira.Kesho angetumia Back 3
1. All salum
2. Kapombe.
3. Kazi
4. KENEDY .
5. Malone
6. Mzamiru.
7. Saido
8. Ngoma.
9. Baleke.
10. Phili
11. Kibu
3- 5-2
Chama akae benchi acheze saido, nyie ndio washauri wa huyu kocha, sio kwa Kikos hichoKesho angetumia Back 3
1. All salum
2. Kapombe.
3. Kazi
4. KENEDY .
5. Malone
6. Mzamiru.
7. Saido
8. Ngoma.
9. Baleke.
10. Phili
11. Kibu
3- 5-2
We mrembo, nyuzi zako nyingi ni kuisema Simba.... sasa anzisha timu yako ndio uwe unatoa ushauri wako wa hovyo!.... mnaona shida Simba inavyoimarikaee....Nimeona mechi na Mtibwa, Robertinho ameanza na Kapombe na Tshabalala, kwangu mimi nawaona wameshachoka na hawaendi na kasi inayotakiwa, jamani tuwe wa kweli na tuache ushabiki maandazi, yule beki wa kulia wa Yanga sio masihara, ni mtu kazi haswa, ana nguvu, anapanda, anamwaga maji, anashuka haraka, hapitiki na ana chenga.Ni mpambanaji.
Kapombe na Tshabalala wamechoka, kocha awapumzishe wasubiri mechi ngumu ngumu ndio wawapange, namshauri hakuna sababu ya kesho na Dodoma jiji uwapange hao wakati kuna Duchu kulia na Israel Mwenda kushoto ambao wote wana uwezo na damu inachemka.
Otherwise kwa upangaji wa kocha wachezaji watashuka viwango ss hv
Chama akae benchi acheze saido, nyie ndio washauri wa huyu kocha, sio kwa Kikos hicho
Acha kumpangia timu kocha,hivi wewe ushawahi hata kufundisha timu ya watoto nyumbani kwenu ipasilo?Kesho angetumia Back 3
1. All salum
2. Kapombe.
3. Kazi
4. KENEDY .
5. Malone
6. Mzamiru.
7. Saido
8. Ngoma.
9. Baleke.
10. Phili
11. Kibu
3- 5-2
Acha kumpangia timu kocha,hivi wewe ushawahi hata kufundisha timu ya watoto nyumbani kwenu ipasilo?