Sioni sababu Robertinho kuwapanga Kapombe na Tshabalala kila mechi wakati wana mechi zao hao

Sioni sababu Robertinho kuwapanga Kapombe na Tshabalala kila mechi wakati wana mechi zao hao

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Nimeona mechi na Mtibwa, Robertinho ameanza na Kapombe na Tshabalala, kwangu mimi nawaona wameshachoka na hawaendi na kasi inayotakiwa, jamani tuwe wa kweli na tuache ushabiki maandazi, yule beki wa kulia wa Yanga sio masihara, ni mtu kazi haswa, ana nguvu, anapanda, anamwaga maji, anashuka haraka, hapitiki na ana chenga.Ni mpambanaji.

Kapombe na Tshabalala wamechoka, kocha awapumzishe wasubiri mechi ngumu ngumu ndio wawapange, namshauri hakuna sababu ya kesho na Dodoma jiji uwapange hao wakati kuna Duchu kulia na Israel Mwenda kushoto ambao wote wana uwezo na damu inachemka.

Otherwise kwa upangaji wa kocha wachezaji watashuka viwango ss hv
 
Kesho angetumia Back 3

1. All salum
2. Kapombe.
3. Kazi
4. KENEDY .
5. Malone
6. Mzamiru.
7. Saido
8. Ngoma.
9. Baleke.
10. Phili
11. Kibu

3- 5-2
 
Kesho angetumia Back 3

1. All salum
2. Kapombe.
3. Kazi
4. KENEDY .
5. Malone
6. Mzamiru.
7. Saido
8. Ngoma.
9. Baleke.
10. Phili
11. Kibu

3- 5-2
Chama akae benchi acheze saido, nyie ndio washauri wa huyu kocha, sio kwa Kikos hicho
 
We mrembo, nyuzi zako nyingi ni kuisema Simba.... sasa anzisha timu yako ndio uwe unatoa ushauri wako wa hovyo!.... mnaona shida Simba inavyoimarikaee....
 
Chama akae benchi acheze saido, nyie ndio washauri wa huyu kocha, sio kwa Kikos hicho

Ndio maana ya Rotation.
Na KIKOSI kipana.

Unataka Chama acheze MICHEZO karibu 50 ya msimzu mzima??????

1. League MICHEZO 30.

2. CAF champions League almost michezo. 10.

3 Super Cup. . 8

4. Azam Federation 5.

5. Mapinduzi cup. 5

HIVI AKILI YAKO HUWA INAFANYA KAZI KWELI??????
 
Kesho angetumia Back 3

1. All salum
2. Kapombe.
3. Kazi
4. KENEDY .
5. Malone
6. Mzamiru.
7. Saido
8. Ngoma.
9. Baleke.
10. Phili
11. Kibu

3- 5-2
Acha kumpangia timu kocha,hivi wewe ushawahi hata kufundisha timu ya watoto nyumbani kwenu ipasilo?
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Back
Top Bottom