Sioni sababu ya kuufungia wimbo wa Mwanza

Sioni sababu ya kuufungia wimbo wa Mwanza

Chrix_Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
880
Reaction score
1,100
Hivi hili baraza lina matatizo gani? Sioni sababu ya kuifungia ile nyimbo kiukweli...

Kwa style hii wasanii wetu watapata tabu sana. Ebu tusaidiane kwahili ile nyimbo ina tatizo kwani?!

IMG-20181112-WA0001.jpeg
 
Thad ebu nambie una sbabu zipi za kufungiwa kwa wewe km ww unavyoona maana msilete ushabiki maandazi tu na uteam team usiokua na maana mkuu
 
Kuna matusi gani ktk huo wimbo..... Nyegezi sio tusi ww sema katumia tafsida au mlitaka aseme nyege kabisaaa ndo mpanic
Wamefanya vizuri wasanii wanajikuta untouchable mpaka waimbe matusi
 
Naomba mniandikie tusi moja lililopo kwenye huo wimbo
 
Thad ujue kuna muda music ni burudani tuuuu ujue mkuu sio kila mziki lazima uelimishe jamii au hujui hilii
 
Kiukweli mimi siwashauri wcb wawe wanalunch nyimbo zao hapa
 
Watz ni wanafiki sana km.msemavyo yaan hawana jema..wakina roma waliimba sana ngoma fulan amazing ila kuna mijitu ikadis kuwa anaikosoa serikali sana na kujikuta had kutekwa haya wakiimba kibamia shida inafungiwa sasa waimbe nini wasanii watz yaan kuna muda naona kabisa watz sisi hatujitambui kabisa ktk hili pumbavvv tutaendelea kupelekeshwa sana
 
Nahisi itakua poa sana waendel hata kenya huko wakalunch wapate hela maana bongo ishakua miyeyusho sasa
Kiukweli mimi siwashauri wcb wawe wanalunch nyimbo zao hapa
 
Back
Top Bottom