Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukifanya hivyo utakuwa na moyo usio wa kawaida huna mshipa wa aibu na heshima; na labda umenyimwa kope pia maana si jambo jema kabisa mkuu.Naweza vizuri tu mkuu
Ukifanya hivyo utakuwa na moyo usio wa kawaida huna mshipa wa aibu na heshima; na labda umenyimwa kope pia maana si jambo jema kabisa mkuu.
Jiongeze mkuuSizani kama kwenye mwili wa binadamu kuna mshipa wa hovyo kama unaousema wewe wa aibu
Jiongeze mkuu