Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karma is a bitch.....Misa anasmile kwa upole
Malipo ni hapa hapa mond na kundi lako mlijisahau sana
Uswahili mwingi haya kacheze na mama yako na baba yako wa kufikia huko madale.
Uyo mtani wangu utani wetu haukuusu jibu hoja sio bra bra.Ndio maana anatetea nyimbo zisizo na kichwa wala miguu, huku akiwaona wanaozipinga kuwa hawana akili!
Hahah mkuu bwana mdogo ni lugha gongana aisee.Ndio maana anatetea nyimbo zisizo na kichwa wala miguu, huku akiwaona wanaozipinga kuwa hawana akili!
Mjomba sio kila nyimbo ni yamafunzo kwa jamii wengine tunataka kutoa mastress ya jiwe tunataka kuparty !Hauna mafunzo yoyote kwa jamii zaidi ya kupotosha maadili.
BTW mimi sina timu wala huo ushabiki wenu
Hahaahaa. Tunaongoza ngapi ngapi hadi saa hii halftime bado au tayari huku umeme ulikataKatika watu wanafiki tz tunaongoza aisee dah
By the way sina uteam ni factsChuki binafsi na uteam inakusumbua ndio nachoona hapa
Haha duh, goja ni subir jibuMkuu simple tu.... Unaweza tamka neno nyege kwa bi mkubwa ako.... Mfano unasema"Mama napenda haya machungwa ya nyege? " Kama huwezi basi jibu unalo
Mkuu simple tu.... Unaweza tamka neno nyege kwa bi mkubwa ako.... Mfano unasema"Mama napenda haya machungwa ya nyege? " Kama huwezi basi jibu unalo