Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawapongeza BASATA kwa hatua hiyo japo naona walichelewa kuufungia!
Vizuri,sema muhimu waambiwe sababu ya kifungiwa...wanaimba matusi sana hawa wapuuzi now days.Wamefanya vizuri wasanii wanajikuta untouchable mpaka waimbe matusi
ni vema ili kutokurudisha maadili nyumaHivi hili baraza lina wazimu gani? Sioni sababu ya kuifungia ile nyimbo kiukweli... Kwa style hii wasanii wetu watapata tabu sana. Ebu tusaidiane kwahili ile nyimbo ina tatizo kwani?!View attachment 930772
Wamefungia wimbo wa Rayvanny sio nyimbo........huko shule mlienda kusomea ujinga?Hivi hili baraza lina wazimu gani? Sioni sababu ya kuifungia ile nyimbo kiukweli... Kwa style hii wasanii wetu watapata tabu sana. Ebu tusaidiane kwahili ile nyimbo ina tatizo kwani?!View attachment 930772
whatever but you have to tearch the society proper behaviourWamefungia wimbo wa Rayvanny sio nyimbo........huko shule mlienda kusomea ujinga?
Wamefungia wimbo wa Rayvanny sio nyimbo........huko shule mlienda kusomea ujinga?
Sasa povu la nini bwashee?Ujinga ni nini? Ujinga ni pale unapoendeleza ujinga wa kutafuta ujinga badala ya kumrekebisha alipokosea basi.. Ebu sema basi pia wamefungia wapi kabatini au chooni kwako
[emoji122][emoji122][emoji122]Acha kutetea ujinga hujui huo mziki watoto ndio wahanga wakubwa... utajisikiaje umekaa na mtu wa heshima mtoto wako anaimba "Nyege Nyege Nyegezi kwetu Nyegezi" mara sijui naogopa central michezo ya Umber rutty, kuna ule mwingine eti " baby papasa mjusi kafiri nisafishe mtaro"
Kama mashairi yamewaishia wahamie kwenye ngonjera.
Yaani wanakera kweli, kama hawawezi kutunga kwanini wasitafute watu wa kuwatungia mashairi kuliko kutunga huo upupu wao kila kukicha!Yani wangewafunga na wao maana hawanaga cha kuimba ni matusi tu.
Hakuna mtu nibayemuona hana ubongo kama anayeongea kauri ya ujumbe kwenye nyimbo, hivi unaijua fasihi, hivi ushawai jifanyia reserch playlist yako kubwa mwenyewe inahusisha nyimbo zenye ujumbe, ok basi unapenda ujumbe je nyimbo za 20 pacent unazo kwenye simuyako, Ngurumo na TX moshi, naamini ushaona kama uwezi tumia ubongo.
Small mind.
Ndio maana anatetea nyimbo zisizo na kichwa wala miguu, huku akiwaona wanaozipinga kuwa hawana akili!Nibayemuona
Ushawai
Pacent
Kauri
Elimu yetu hii ni shiida