Sioni sababu ya kuufungia wimbo wa Mwanza

Sioni sababu ya kuufungia wimbo wa Mwanza

Ila kuwaelewa watanzania ni kaz sana,mie siwaelewi mara mlikuwa mnataka ufungwe sasa hiv hamsomekii kwa upande wangu mm napenda mziki mzurii basii
 
after all waelimishwe kuhusu hilo kwakuwa kwao wanaona ni fine but how about the receivers
 
Me sio mpenzi wa Music wa Tanzania sana japo nawasikiliza baadhi.

Sioni tatizo kwa wimbo huu,

Kataeni tu ila Nje tutampokea, Hongera sana Dimond! Unatutangaza vyema Kupitia Mziki wako.

Bongo ''TUNACHELEWESHANA''.
 
Ujinga ni nini? Ujinga ni pale unapoendeleza ujinga wa kutafuta ujinga badala ya kumrekebisha alipokosea basi.. Ebu sema basi pia wamefungia wapi kabatini au chooni kwako
Wamefungia wimbo wa Rayvanny sio nyimbo........huko shule mlienda kusomea ujinga?
 
Ujinga ni nini? Ujinga ni pale unapoendeleza ujinga wa kutafuta ujinga badala ya kumrekebisha alipokosea basi.. Ebu sema basi pia wamefungia wapi kabatini au chooni kwako
Sasa povu la nini bwashee?
 
Acha kutetea ujinga hujui huo mziki watoto ndio wahanga wakubwa... utajisikiaje umekaa na mtu wa heshima mtoto wako anaimba "Nyege Nyege Nyegezi kwetu Nyegezi" mara sijui naogopa central michezo ya Umber rutty, kuna ule mwingine eti " baby papasa mjusi kafiri nisafishe mtaro"

Kama mashairi yamewaishia wahamie kwenye ngonjera.
[emoji122][emoji122][emoji122]
Hata kwenye ngonjera hakuwafai waendelee tu kuuza karanga waachane na mziki!
 
Yani wangewafunga na wao maana hawanaga cha kuimba ni matusi tu.
Yaani wanakera kweli, kama hawawezi kutunga kwanini wasitafute watu wa kuwatungia mashairi kuliko kutunga huo upupu wao kila kukicha!
 
Thad na sweetlee naona povu jingi leo kudadeq kisa wcb na bado tutatoa mpk mkome akili zenu na basata yenu ya kinafiki[emoji2]
 
Goma ndo lishafika uwanjani kazi kwenu kulicheza maana watu tayar wanayo kwa sim kwa youtube tayar wanajisumbua tu naona na chuki zao binafsi
 
Hakuna mtu nibayemuona hana ubongo kama anayeongea kauri ya ujumbe kwenye nyimbo, hivi unaijua fasihi, hivi ushawai jifanyia reserch playlist yako kubwa mwenyewe inahusisha nyimbo zenye ujumbe, ok basi unapenda ujumbe je nyimbo za 20 pacent unazo kwenye simuyako, Ngurumo na TX moshi, naamini ushaona kama uwezi tumia ubongo.

Small mind.
Nibayemuona

Ushawai

Pacent

Kauri

Elimu yetu hii ni shiida
Ndio maana anatetea nyimbo zisizo na kichwa wala miguu, huku akiwaona wanaozipinga kuwa hawana akili!
 
Back
Top Bottom