Sioni sababu ya kuufungia wimbo wa Mwanza

Sioni sababu ya kuufungia wimbo wa Mwanza

Leoo imbaa huo wimbo mbele ya Mama au Baba akooo...! Ukishindwaa muimbiee mwanaoo au wadogoo zakoo maana Ni nyimboo nzurii sanaa yanii Kalii mnooo...[emoji24][emoji24]
 
Sizani kama kwenye mwili wa binadamu kuna mshipa wa hovyo kama unaousema wewe wa aibu
Ukifanya hivyo utakuwa na moyo usio wa kawaida huna mshipa wa aibu na heshima; na labda umenyimwa kope pia maana si jambo jema kabisa mkuu.
 
Kwanini asipende butimba ama buhongwa! Kama lengo ni kuisifia mwanza, basi atote nyegezi aweke kirumba, buhongwa, butimba ama igoma.
 
Viongozi wa Tanzania wamejawa wivu na roho mbaya, kuanzia kwa baba yao mpaka watoto
 
Back
Top Bottom