Sioni sababu ya kuufungia wimbo wa Mwanza

Walikua bado hawajaufungia!!?
Safi sana mpaka wanyooke.... Wafanye matusi wameona haitoshi wameamua kuyatamka kabisa ili watoto waharibikiwe.
 
Thad ujue kuna muda music ni burudani tuuuu ujue mkuu sio kila mziki lazima uelimishe jamii au hujui hilii
Acha kutetea ujinga hujui huo mziki watoto ndio wahanga wakubwa... utajisikiaje umekaa na mtu wa heshima mtoto wako anaimba "Nyege Nyege Nyegezi kwetu Nyegezi" mara sijui naogopa central michezo ya Umber rutty, kuna ule mwingine eti " baby papasa mjusi kafiri nisafishe mtaro"

Kama mashairi yamewaishia wahamie kwenye ngonjera.
 
Vitu vingine mi naona ni ujinga tu unafungia za hapa wakat wamashinda kwenye mayoutube kuangalia nyimbo km.hizo hizo zilizofungiwa.. Mi naona ifike mahali wasanii wetu wafanye mpango wa kuhamia nchi jirani tu
Msanii akitoa nyimbo yenye content ya matusi kama taifa tunapata hasara Gani kiuchumi kitamaduni nk.
 
We umeharibikiwa nini kwa mfano mpk muda huu ulipousikiliza huo wimbo
Walikua bado hawajaufungia!!?
Safi sana mpaka wanyooke.... Wafanye matusi wameona haitoshi wameamua kuyatamka kabisa ili watoto waharibikiwe.
 
Yani wangewafunga na wao maana hawanaga cha kuimba ni matusi tu.
 
Mi nasikiliza tuu maana sion tatizo hapo wewe mwenye akili iliyokaa kushoto zaid lazima uone shida mbona mnaangalia mapicha ya uchi kwenye mtandao na mnayahifadhi kwa sim hamuon km ni tatizo
 
Vitu vingine mi naona ni ujinga tu unafungia za hapa wakat wamashinda kwenye mayoutube kuangalia nyimbo km.hizo hizo zilizofungiwa.. Mi naona ifike mahali wasanii wetu wafanye mpango wa kuhamia nchi jirani tu
Ni ujinga tu ..kuamini mtu flani akifanya mambo ya ovyo mwanao ata geza .Sasa tatizo lipo Kwa chibu Na matusi yake au wazazi Na malezi ya watoto
 
Mi nasikiliza tuu maana sion tatizo hapo wewe mwenye akili iliyokaa kushoto zaid lazima uone shida mbona mnaangalia mapicha ya uchi kwenye mtandao na mnayahifadhi kwa sim hamuon km ni tatizo
Wewe bwabwaja lakini wimbo ushafungiwa, utasikiliza kwa earphones.... pathetic.
 
sweetlee mnaongea sana nyie tatizo naona kuna ushabiki wa kiteam hapo hamna lolote mkuu mi ntaupiga tena naweka lingtone back kwa sim yang nione hiyo basata yenu itafanyaje
 
Kuna haja ya kuwapelekea mashairi kabla msanii hajaanza kuingia studio. Maana hiyo mahali popote ni dunia nzima
 
Ushamba nao mzigo naona wanasumbuliwa na mzigo waliobeba kichwan mwao yaan kwa miaka ya leo bado tunaleta hizi drama
Wewe bwabwaja lakini wimbo ushafungiwa, utasikiliza kwa earphones.... pathetic.
 
Sina team mimi ni shabiki wa mziki mzuri siyo shabiki wa Nyimbo za matusi na kubana pua.
Upige tu mpaka masikio yako yapasuke lakini ndio ushafungiwaaaa
sweetlee mnaongea sana nyie tatizo naona kuna ushabiki wa kiteam hapo hamna lolote mkuu mi ntaupiga tena naweka lingtone back kwa sim yang nione hiyo basata yenu itafanyaje
 
Mzee baba hahahaha kwani ndio ya kwanza kufungiwa? kwa hiyo mzee baba wenu anachekelea matusi lkn wengine wakiyafanya chumban wafungwe... fyekelea mbaliiii dadekiiii.
Subiri kesi ifike kwa mzee baba kesho kutwa tu utafunguliwa mkuu
Ushamba nao mzigo naona wanasumbuliwa na mzigo waliobeba kichwan mwao yaan kwa miaka ya leo bado tunaleta hizi drama
Ukija kua na familia ya mke na watoto ndio utajua alaa kumbe BASATA wapo sahihi tena utakua mzee kifimbo cheza kbs upambane na wachafuzi wa lugha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…