Sioni sababu ya kuwaombea wapiga kura wako wanyimwe misaada kimataifa

Huu uzi unaurudiarudi sana,nilikuuliza swali hukujibu!Hivi kumbe tukikosa misaada tutakufa eeh?Kumbe hatuwezi ishi bila misaada,teh teh teh!
 

Oh yeah,kumbe ni wewe Elitwege,tege kweli wewe!
 
Mbona unalilia sana na misaada. Bado hamjawa dona kantri?
 
Tunitakiwa kumshukuru sana TL kwa kujitolea kwake kupinga tusipewe misaada. Maana yupo ambaye anajifanya hapendi misaada huku akinyimwa ananung'unika au kulalama kuwa misaada ina masharti.

Navyoona tukinyimwa misaada tunatakiwa tutembee kifua mbere kwa sababu lengo letu la kuwa dona kantri litakuwa limetimia
 


Hizi ndizo akili za mtu msomi, think about that. Yaani wasomi wa Tanzania ni majanga tupu, muoneni Zitto.
 
Kama ni punguani kwanini mlimmiminia risasi zote zile, tuanzie hapo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda kwa taarifa yako tu ni kuwa hata kama huyo lissu hakwenda huko aliko, na hata kama hataongea chochote kweny ziara yake... hakuna kitu chochote kitafanyika dunia hii iwe asubuhi hata usiku kisijulikane! maana hata hii sauti unayoipaza hapa unaipaza kupitia nyenzo yao ya mawasiliano! hivi hujui kama mabalozi wa hizo nchi tunao miaka nenda rudi? ina maana kikitokea kitu chochote hawakioni?
 
Tengeneza tatizo ili baadae ulitumie kama mtaji wa kukupaisha na uje kulitatua.
 
Muosha huoshwa... what goes around comes around...

Nyie sii mmesema hajui halipo, ameondoka bila ya kuaga... mkamfuta ubunge... muacheni sasa awanyooshe...



Cc: mahondaw
 
lissu hajui siasa ni mtu wa mihemko na kuropoka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…