Sioni sababu ya kuwatenga single mother

Cseries

Member
Joined
Aug 1, 2018
Posts
5
Reaction score
6
Baadhi ya wanaume tumekuwa malimbukeni wa kuogopa kuwaoa single mother.
Sijajua tatizo ni mtu kuogopa majukumu ya kulea mtoto uliyemkuta na mwanamke ama ni nini.!!.
Kama ni mtu kujiaminisha kuwa huwezi oa mwanamke aliyekwisha zaa ndugu zangu mnajidanganya. Kwa dunia ya sasa wanawake wanatoa mimba sana. Wengine hadi za miezi mitano. Kwangu mimi mwanamke anayetoa mimba hana tofauti na mwanamke aliyezaa ila mtoto akafariki.
Hivyo ndugu zangu ukipata mwanamke ukampenda mwoe hata kama ana mtoto, kuliko kujiaminisha kwa hawa wasio na watoto wakati washauwa watoto kibao na kupitishiwa mikasi wakati wa abortion.
 
Umeongea ukweli, ila tambua kabisa kuwa kumuoa mwanamke aliyekwishazalishwa na mwanaume mwingine yataka moyo mkuu na ujasiri.

Ukiona mtu amemuoa single mother ujue kafumba macho na kaziba masikio kwa mengi.


Mwanaume ni kiumbe mwenye wivu mwingi linapokuja suala la mapenzi.
Ndiyo maana ma-single mother wengi huishia kuwa mke wa pili au kuwa michepuko ya wenye ndoa.

Ndiyo maana single mothers wakiolewa wanatulia mno. Hii ni kwakuwa wanajua uchungu na shida za kuwa lonely.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo Ni Maisha private ya mtu,kwa mfano Mimi kamwe siwezi kuoa single mother, never ever,Kama tu ulivyo msimamo wa mtu mwingine kupenda wanawake warefu,weusi,wenye chura,n.k,kila mtu na maamuzi yake,na ishu ya mimba hata huyo single mother anaweza akawa alitoa mimba pia,la mwisho inahitaji ujasiri,kufumba macho na masikio katika kuoa single mother,all the best

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaa nilikuwa nawazaa hapa nioe single mother japo ana kazi mwingine sio cyo single mother hana kazi cjui nipitie wapi mmeshanichnganya nimtupilie mbali single mother nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 

hana kuaga ana kwenda kwa mzazi mwenzake hatakuja kesho ana lala huko.asante kwa uzi wako [emoji56]
 
Binafsi, single mothers huwa nawapenda sanaaa. Tuwapeni ushirikiano, na 'huduma' pia.

-Kaveli-
 
Haya single maza mwenye 1-0 aje hapa nimetoa offer hawa ni wakuwahurumia jmn watoto wazuri hawa tumepewa na Mungu..sasa offer hii ni Massa 48 tu. Yakizidi mpaka mwakani tena...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…