Baadhi ya wanaume tumekuwa malimbukeni wa kuogopa kuwaoa single mother.
Sijajua tatizo ni mtu kuogopa majukumu ya kulea mtoto uliyemkuta na mwanamke ama ni nini.!!.
Kama ni mtu kujiaminisha kuwa huwezi oa mwanamke aliyekwisha zaa ndugu zangu mnajidanganya. Kwa dunia ya sasa wanawake wanatoa mimba sana. Wengine hadi za miezi mitano. Kwangu mimi mwanamke anayetoa mimba hana tofauti na mwanamke aliyezaa ila mtoto akafariki.
Hivyo ndugu zangu ukipata mwanamke ukampenda mwoe hata kama ana mtoto, kuliko kujiaminisha kwa hawa wasio na watoto wakati washauwa watoto kibao na kupitishiwa mikasi wakati wa abortion.