Superficial
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 232
- 471
Wengine hatufatilii chandimu kiongozi🙌🥺Watu tuko busy kufikiria mechi yetu ya tarehe 29/2 ww unatuletea nyuzi za watoto tuliowazaa akina Cole na Mainoo brother please be serious
Huyo Palmer ame-achieve nini?Kusema kweli huyu dogo mainoo wa Man UTD wamezidi kum overrate mpaka inafika stage unajiuliza kwa kipi alichofikisha au ku achieve.
Sasa nilikuwa najiuliza je ingekuwa cole pamer angekuwa man utd na kwa performance ya namna hii msimu huu situngemkuta adi kwenye billboards aisee😂😂
Ila kiukweli haka katabia kaku overrate wachezaji sanasana man utd ndo wahanga wa hili janga,ambapo makelele ni mengi afu ukikaa na kujiuliza nothings up.
Kwa nyie overraters njooni mnambie kwanini mnafanya ivo kwa hawa madogo.
NB;NAKARIBISHA NEGATIVE COMPLIMENTS ONLY🤣😂
You are an idiot.Kusema kweli huyu dogo mainoo wa Man UTD wamezidi kum overrate mpaka inafika stage unajiuliza kwa kipi alichofikisha au ku achieve.
Sasa nilikuwa najiuliza je ingekuwa cole pamer angekuwa man utd na kwa performance ya namna hii msimu huu situngemkuta adi kwenye billboards aisee😂😂
Ila kiukweli haka katabia kaku overrate wachezaji sanasana man utd ndo wahanga wa hili janga,ambapo makelele ni mengi afu ukikaa na kujiuliza nothings up.
Kwa nyie overraters njooni mnambie kwanini mnafanya ivo kwa hawa madogo.
NB;NAKARIBISHA NEGATIVE COMPLIMENTS ONLY🤣😂
Huu ujinga wako ficha sio kila mtu ni simba na yangaWatu tuko busy kufikiria mechi yetu ya tarehe 29/2 ww unatuletea nyuzi za watoto tuliowazaa akina Cole na Mainoo brother please be serious
Man u ndio utaratibu wao si unaoña lingard sijui rashford Antony lakini wapiKusema kweli huyu dogo mainoo wa Man UTD wamezidi kum overrate mpaka inafika stage unajiuliza kwa kipi alichofikisha au ku achieve.
Sasa nilikuwa najiuliza je ingekuwa cole pamer angekuwa man utd na kwa performance ya namna hii msimu huu situngemkuta adi kwenye billboards aisee😂😂
Ila kiukweli haka katabia kaku overrate wachezaji sanasana man utd ndo wahanga wa hili janga,ambapo makelele ni mengi afu ukikaa na kujiuliza nothings up.
Kwa nyie overraters njooni mnambie kwanini mnafanya ivo kwa hawa madogo.
NB;NAKARIBISHA NEGATIVE COMPLIMENTS ONLY🤣😂
Hata mimi zamani nilikua na fikra kama zako. Ulikua huniambii kitu kuhusu mpira wa ulaya hakuna mchezaji nisiye mjua baadae nikajikuta naanza kufall huku nyumbani mpaka sasa huniambii kitu na mpira wa bongo japo pia ulaya bado nipoWengine hatufatilii chandimu kiongozi🙌🥺
Ndugu kama hufuatilii mpira ni bora usiandike chochote utajiabisha. Hakuna mchezaji chini ya miaka 21 katika ligi 5 bora ulaya mwenye perfomance bora kabisa kwa sasa kama Cole Palmer. Hiyo ni moja ya achievement kubwa ambayo wewe huijuiHuyo Palmer ame-achieve nini?
Hujui chochote kuhusu mpira, kenge wewe
Acha kujizima data mkuu palmer ka achiave yafuatayoHuyo Palmer ame-achieve nini?
Hujui chochote kuhusu mpira, kenge wewe
Hayo ni mafanikio ya timu kwa ujumla.Acha kujizima data mkuu palmer ka achiave yafuatayo
1. UEFA SUPER CUP WINER 2023/2024 akiwa na man city
2. FA CUP WINER 2023 akiwa man city
3. U21 EUROPEAN CHAMPION WINER 2023 england U21
4. UEFA CHAMPIONS LEAGUE WINER 2022/2023 akiwa man city
au we ulikua unamzungumzia palmer wa kwa mtogole?
Hujalala mpk now duu..Dogo Anaimbwa sana, sababu ni anachokifanya na umri wake ni tofauti.
Usisahau Man U inasuasua, so dogo anawazidi kiwango midfielders wengi wa Man u kwa sasa.
Obvious Mashabiki wa Man U lqzima wamsifie.
Lakini ukiondoa ushabiki dogo anajua na ana potential kubwa.
Mbona hujishangai wwe mwenywe?Hujalala mpk now duu..
Hizo wins zote tambua kuwa kavaa golden medol huwezi tenganisha mafanikio ya team na ya mchezaji as long as mchezaji ni wa team husika. Huezi ukimbia huo ukweli labda uwe na ushabiki wa usimba na uyanga huwa mnabisha hata vitu vilivyowazi au ulitaka kombe la uefa apewe la kwake personal?Hayo ni mafanikio ya timu kwa ujumla.
Angalau angakuwa ni best perfomer kwenye hayo mashindano kama Haaland. Unaweza sema kaachieve.
Geti la kusini ni mpenzi wa Manunu aka Nyumbu.Kusema kweli huyu dogo mainoo wa Man UTD wamezidi kum overrate mpaka inafika stage unajiuliza kwa kipi alichofikisha au ku achieve.
Sasa nilikuwa najiuliza je ingekuwa cole pamer angekuwa man utd na kwa performance ya namna hii msimu huu situngemkuta adi kwenye billboards aisee😂😂
Ila kiukweli haka katabia kaku overrate wachezaji sanasana man utd ndo wahanga wa hili janga,ambapo makelele ni mengi afu ukikaa na kujiuliza nothings up.
Kwa nyie overraters njooni mnambie kwanini mnafanya ivo kwa hawa madogo.
NB;NAKARIBISHA NEGATIVE COMPLIMENTS ONLY🤣😂
Ndio kinachokukumba kwa sasa ....siwezi shangaaKumbe huu ubishi ulikua usiku mwingi?
Bila shaka ni wahanga wa masturbation, Smartphones na Netflix.