Sioni sababu ya Mainoo kuwa overrated kiasi hiki na Man UTD

Ndugu kama hufuatilii mpira ni bora usiandike chochote utajiabisha. Hakuna mchezaji chini ya miaka 21 katika ligi 5 bora ulaya mwenye perfomance bora kabisa kwa sasa kama Cole Palmer. Hiyo ni moja ya achievement kubwa ambayo wewe huijui
Unatumia kinywaji gani kiongozi 🙌
 
Hata mimi zamani nilikua na fikra kama zako. Ulikua huniambii kitu kuhusu mpira wa ulaya hakuna mchezaji nisiye mjua baadae nikajikuta naanza kufall huku nyumbani mpaka sasa huniambii kitu na mpira wa bongo japo pia ulaya bado nipo
Naziomba na mimi izo tips za kuvutiwa na mpira wa nyumbani, kwasababu kiukweli naonaga kama napoteza mda kwa upande wangu.
 
Ukiupenda mpira urajikuta unavutiwa tu. Mimi nilikua nashangaa unakuta nimeenda kibanda umiza nacheki game ya Liver na Chelsea baadae kumbe kuna ya Simba inaanza nashangaa watu wanatoa game ya EPL wanaweka bongo najikuta kibanda umiza natoka peke yangu. Lakini baadae nikajikuta tu namimi navutiwa hasa kuanzia mwaka 2017.

Lakini pamoja na ivyo mwaka jana mwezi wa 11 ndio nimenunua king'amuzi cha Azam ili niwe naangalizia nyumbani baadhi ya game. Miaka yote mimi ni DSTV tu
 
Mimi kwangu dstv ndio mpango mzima lakini daah ngoja nibadili mweelekeo wangu kwa sasa
 
Ndugu kama hufuatilii mpira ni bora usiandike chochote utajiabisha. Hakuna mchezaji chini ya miaka 21 katika ligi 5 bora ulaya mwenye perfomance bora kabisa kwa sasa kama Cole Palmer. Hiyo ni moja ya achievement kubwa ambayo wewe huijui
Unajua maana ya ku-achieve au na wewe ni ngumbaru umekimbia shule?
 
Sasa ivi unakuja na maana ya ku achieve huku ndio nitakuchakaza kibao kata wewe. Kubali hujui usiendelee kujiaibisha
Wewe msengerema acha kwanza kurukia comments zisizokuhusu.

Haya lete hizo achievements?
Babako aliuza kondoo ili apeleke kondoo mwingine shule
 
We kibwagala ungetaka haya ungekuja kiupole na uombe kuelekezwa sio kujiropokea tu kwa vitu usivyokua na uelewa navyo na ukiambiwa unajikuta mkali Sanchoka wewe.
 
Hahaha umeshindwa kuleta achievement ulizosema. Makumazan wewe
 
Kusema kweli huyu dogo mainoo wa Man UTD wamezidi kum overrate mpaka inafika stage unajiuliza kwa kipi alichofikisha au ku achieve.

Sasa nilikuwa najiuliza je ingekuwa cole pamer angekuwa man utd na kwa performance ya namna hii msimu huu situngemkuta adi kwenye billboards aisee[emoji23][emoji23]

Ila kiukweli haka katabia kaku overrate wachezaji sanasana man utd ndo wahanga wa hili janga,ambapo makelele ni mengi afu ukikaa na kujiuliza nothings up.

Kwa nyie overraters njooni mnambie kwanini mnafanya ivo kwa hawa madogo.
NB;NAKARIBISHA NEGATIVE COMPLIMENTS ONLY[emoji1787][emoji23]
Niliposoma ulipoandika cole pamer nikagundua uwezo wako.
 
Ndugu kama hufuatilii mpira ni bora usiandike chochote utajiabisha. Hakuna mchezaji chini ya miaka 21 katika ligi 5 bora ulaya mwenye perfomance bora kabisa kwa sasa kama Cole Palmer. Hiyo ni moja ya achievement kubwa ambayo wewe huijui
Jude Bellingham, Yamine Yamal
 
Hahaha umeshindwa kuleta achievement ulizosema. Makumazan wewe
Wewe ndio maana halisi ya akili kisoda. Ukishagundua kuna jambo huliwezi au hujui omba kuelekezwa na sio kuleta ujuaji. Unaambiwa unaanza kejeli na matusi, sasa mimi kwa umri wangu kuna tusi gani jipya unahisi litanitetemesha? Famba kweli we mtoto.

Namaliza kwa kukwambia nenda kajifunze kwanza. Nimemaliza kifo cha mende wewe
 
Ndugu kama hufuatilii mpira ni bora usiandike chochote utajiabisha. Hakuna mchezaji chini ya miaka 21 katika ligi 5 bora ulaya mwenye perfomance bora kabisa kwa sasa kama Cole Palmer. Hiyo ni moja ya achievement kubwa ambayo wewe huijui
Usiwe unajibu mijitu isiyofuatilia Mpira.
 
Kusema kweli huyu dogo mainoo wa Man UTD wamezidi kum overrate mpaka inafika stage unajiuliza kwa kipi alichofikisha au ku achieve.

Sasa nilikuwa najiuliza je ingekuwa cole pamer angekuwa man utd na kwa performance ya namna hii msimu huu situngemkuta adi kwenye billboards aisee😂😂

Ila kiukweli haka katabia kaku overrate wachezaji sanasana man utd ndo wahanga wa hili janga,ambapo makelele ni mengi afu ukikaa na kujiuliza nothings up.

Kwa nyie overraters njooni mnambie kwanini mnafanya ivo kwa hawa madogo.
NB;NAKARIBISHA NEGATIVE COMPLIMENTS ONLY🤣😂
Man U sasa hivi wamevurugwa ,waache wa overrate wachezaje wake maana huku kwenye makombe hawawezi tena kushangilia,wameshapoteza ubora.timu inaishia kwenye hatua za makundi kwenye UEFA Champions League. kwanini wasishangilie wachezaji ambao hawana ubora maana kwenye ushindani kwa sasa hawapo. usipoteze muda kuwajadili hao wamevurugwa kwa mengi.
 
Well spoken...uzi ufungwe🤣🙌
 
Ni kawaida ya wachezaji wote wa ENGLAND wanakuwa hivyo ila mwisho wa siku wanapotea kina Adnan januzaj dele ali Marco's rashford Jesse lingard Jack wilshere theo Walcott wote ilikuwa hvyo hvyo ila wameangukia chali kwa hyo mkuu waingereza ndio walivyo.
 
Back
Top Bottom