Sioni sababu ya mashabiki wa Simba sc kupiga Fijo na nderemo nyingi Yanga kufungwa na Alger wakati kabati lao la makombe limejaa Vumbi

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Endeleeni kufurahi kwa kujipongeza wakati kabatini kila kukicha mnafuta Vumbi na kushangilia kombe alilo wapa mangungu la kumfunga mtani.

Hii ni aibu kubwa sana na haina tofauti na masikini kumcheka tajiri kupoteza shilingi Mia.

Timu imetinga nusu fainali, imechukua kombe la ligi na ipo fainali kombe la shirikisho Azam.

Vimba mwananchi vimbaaaaaaaaaa.
 
Mbona tunapangiana cha kufurahia?

Baba umejua kutufurahisha🎵🎵
 
Endeleeni kufurahi kwa kujipongeza wakati kabatini kila kukicha mnafuta Vumbi na kushangilia kombe alilo wapa mangungu la kumfunga mtani.

Hii ni aibu kubwa sana na haina tofauti na masikini kumcheka tajiri kupoteza shilingi Mia.

Timu imetinga nusu fainali, imechukua kombe la ligi na ipo fainali kombe la shirikisho Azam.

Vimba mwananchi vimbaaaaaaaaaa.
Hawa jamaa ni sawa na mchawi kufurahia msiba wa jirani yake.

Kwa kweli "utani" wa soka la Tanganyika hata silielewi vizuri. Na kama ni hivi. Tanzania itaendelea kusubiri sana chochote katika soka.
 
Yani nyie mnachekesha sana..mnakumbuka Simba vs Wydad..mlifurahi mnoo..yani wiki nzima ni thread za Simba kufungwa...basi na nyie kaeni hivyo hivyo msijitikise ili mawe tunayorusha yawapate paaaaaa....
 
Rage alishawaambia kwa hiyo hakuna haja ya kurudia.
 
Yani nyie mnachekesha sana..mnakumbuka Simba vs Wydad..mlifurahi mnoo..yani wiki nzima ni thread za Simba kufungwa...basi na nyie kaeni hivyo hivyo msijitikise ili mawe tunayorusha yawapate paaaaaa....
Furahia ukiwa na kombe Sasa unafurahi Nini kabatini ni empty.
 
Yote yamechangiwa na msemaji wenu kumtukana mgunda, hivyo kuwafanya mashabiki wa Simba kukasirika. Pia kumbuka Wydad alipoitoa Simba kwa penalti mlishangilia Sana Tena kwa kebehi.
 
Yani nyie mnachekesha sana..mnakumbuka Simba vs Wydad..mlifurahi mnoo..yani wiki nzima ni thread za Simba kufungwa...basi na nyie kaeni hivyo hivyo msijitikise ili mawe tunayorusha yawapate paaaaaa....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom