NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Na makombe tunayo kabatini nyinyi kombe lenu si kumfunga mtani basi bakieni hivyo hivyohivyo.Mmepigwaaa
Sisi tunachojua mmepigwa hayo mengine hayatuhusu 😆Na makombe tunayo kabatini nyinyi kombe lenu si kumfunga mtani basi bakieni hivyo hivyohivyo.
Hawa jamaa ni sawa na mchawi kufurahia msiba wa jirani yake.Endeleeni kufurahi kwa kujipongeza wakati kabatini kila kukicha mnafuta Vumbi na kushangilia kombe alilo wapa mangungu la kumfunga mtani.
Hii ni aibu kubwa sana na haina tofauti na masikini kumcheka tajiri kupoteza shilingi Mia.
Timu imetinga nusu fainali, imechukua kombe la ligi na ipo fainali kombe la shirikisho Azam.
Vimba mwananchi vimbaaaaaaaaaa.
Rage alishawaambia kwa hiyo hakuna haja ya kurudia.Hawa jamaa ni sawa na mchawi kufurahia msiba wa jirani yake.
Kwa kweli "utani" wa soka la Tanganyika hata silielewi vizuri. Na kama ni hivi. Tanzania itaendelea kusubiri sana chochote katika soka.
Furahia ukiwa na kombe Sasa unafurahi Nini kabatini ni empty.Yani nyie mnachekesha sana..mnakumbuka Simba vs Wydad..mlifurahi mnoo..yani wiki nzima ni thread za Simba kufungwa...basi na nyie kaeni hivyo hivyo msijitikise ili mawe tunayorusha yawapate paaaaaa....
Kweli wewe kitambi Sasa hapo unaona umeongea pointiSisi hatuna shida makombe tuna makombe za ya thelathini habari za umaskini wa makombe waambie IHEFU.
yani unajisifu makombe ambayo hata azam timu ya juzi anayo?
Asante sana prince dube.Ndo mwisho wenu
POINTI NI NINI?Kweli wewe kitambi Sasa hapo unaona umeongea pointi
Makombe tunayo..hyo miaka 4 nyuma mlikua nayo?? Tungekua nayo mwaka huu nyie mngepata wapi mijitumumuo..Furahia ukiwa na kombe Sasa unafurahi Nini kabatini ni empty.
Asante Kibu D mkandaji..Asante sana prince dube.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona tunapangiana na kufurahia?
Baba umejua kutufurahisha[emoji444][emoji444]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani nyie mnachekesha sana..mnakumbuka Simba vs Wydad..mlifurahi mnoo..yani wiki nzima ni thread za Simba kufungwa...basi na nyie kaeni hivyo hivyo msijitikise ili mawe tunayorusha yawapate paaaaaa....