Sioni sababu ya muhimu ya Rais mwenye kuzungukwa na ulinzi mkali kufanya hivi. Kwa hili napingana naye

Kwanza jifunze matumizi ya punctuation marks.Namba mbili jifunze matumizi ya herufi kubwa na ndogo.Tatu jifunze namna ya kuandika aya moja kikamilifu kabla ya ngingine.Inashangaza mtu anayetaka uteuzi hajui kuandika!!!!
Sambamba na hilo koma kufatilia mambo yasiyokuhusu.Haujui mhusika amekoswa kuuwawa mara ngapi na imperialists wa kifaransa wanamuwinda kwa kiasi gani!Traore sio SAMIA hawa ni mbingu na ardhi!Uzalendo wa Traore haukaribiani na wa unayemchawia hata kwa 1%.
Mwisho kabisa wakati unawaza kutosha kwa anayepwaya kwa miaka mingine mitano-wenzako duniani wanafanya mambo makubwa ndani ya wiki tatu tuu!!! Fanya uchawa ulipwe ama upewe uteuzi kwenye nchi maskini,kimaskini uwaongoze maskini kifua mbele!!!
 
Ungesoma andiko langu kwa utulivu ungeelewa vyema. Ila shida yako huwa ni ukurupukaji tu.
Endelea kwanza kububujikwa na machozi na mapambio ya mama!
Kuhusu yule mwamba huna uwezo wa kujadili chochote kwa sababu yule ni rais mwenye maono na nchi yake, ana uchungu na nchi yake.
ACHA KUMUINGIZIA UJINGA WA KUBUBUJIKWA NA MACHOZI.
yule hahitaji mapambio..kila nchi na rais wake huwa wana utaratibu wa kiulinzi.
ILE NI NCHI YA WANAUME, KAZI KAZI, PALE HAKUNA KUBUBUJIKWA NA MACHOZI..
 
Ungekuwa na akili kubwa ungeelewa nilichoandika. lakini uwezo wako bado ni ndogo sana
Huna akili timamu , Kwanza unamkosea Sana Rais Samia ili atukanwe Sana kisa mijinga na mipumbavu kama wewe ...kwasababu huna kazi yoyote duniani wewe nikula na kunya mavi kwa shemeji yako Baki hivo uwe kiburudisho chawatu mitandaoni kenge wewe
 
Ni ulimbukeni tu na utoto
 
Huna akili timamu , Kwanza unamkosea Sana Rais Samia ili atukanwe Sana kisa mijinga na mipumbavu kama wewe ...kwasababu huna kazi yoyote duniani wewe nikula na kunya mavi kwa shemeji yako Baki hivo uwe kiburudisho chawatu mitandaoni kenge wewe
Haujawahi kuwa na akili. Umelaaniwa wewe
 
Nani kakuambia anatoa kwenye kodi. Hivi na wewe ni mlipa kodi au unapiga tu Makele yako kama hayawani
 
Nani kakuambia anatoa kwenye kodi. Hivi na wewe ni mlipa kodi au unapiga tu Makele yako kama hayawani
Kwamba hujui kama Rais wa nchi ndiye mwenye dhamana ya kusimamia hazina na rasilimali zote za nchi? Rais anapolaumiwa Kwa kutapanya Mali ya umma maana yake ni Nini? Hii Ndio Tafsiri yake!

Na unapomuuliza mtu mzima kama analipa Kodi Ili kuondoa legitimacy ya yeye kuuliza au kutoa maoni yake, unaonesha jinsi Gani ulivyo mweupe kichwani..

Kila mtu analipa Kodi na Hilo unalifahamu vyema. Ukiacha sisi wa PAYE Kuna indirect taxi inayotokana na huduma na bidhaa hata mama Yako anajua. Kama hili tu huwezi kulikua kwamba mlaji analipa Kodi ya ongezeko la thamani, tozo na ushuru mbali mbali kwenye huduma shule ulienda kushangaa magorofa. Kwasababu huna analytical and critical thinking skills, Maandiko Yako yamekuwa ngonjera hata wenye mamlaka hawatambi uwepo wako. Wewe na Sufian Juma hamna tofauti!

Kiufupi hauna mchango wowote katika taifa hili isipokua kulamba viatu na makalio ya watu maarufu na wenye madaraka. Yamkini hata ungekua unaandika Maandiko yanayotoa dira na pale tunataka kwenda ungeonakana mtu. Jaribu angalia hata Maandiko ya baba Yako Pascal Mayalla yana sifa ya kuitwa Maandiko! Hata anaenda kuitwa kwenye public speaking na akatoa mada.
Ila wewe ni crap and useless
 
Nani kakuambia anatoa kwenye kodi. Hivi na wewe ni mlipa kodi au unapiga tu Makele yako kama hayawani
Sasa huyo mama yenu kama hatoi hizo fedha kwenye kodi yetu/ consolidated fund , anazitoa wapi? Au ana fund kutoka Adani Group na DpWorld aliowauzia bandari?
 
Sasa huyo mama yenu kama hatoi hizo fedha kwenye kodi yetu/ consolidated fund , anazitoa wapi? Au ana fund kutoka Adani Group na DpWorld aliowauzia bandari?
Anatoa mfukoni mwake. Wewe endelea na uvivu wako na umbeya kwenye vibaraza vya watu.
 
Hatuoni umuhimu wa kuwalinda viongozi kama sasa! Mlinzi mmoja wa kutembea naye, FFU mmoja Mwenye smg inatosha, kuanzia rais mpaka wa mwisho kwa wale wanaostahili kulindwa. Kama kweli raia wamewapigia kura na kuwataka wawe viongozi wao!
Ulinzi mkubwa unaoonywesha kwa rais, makamu, waziri mkuu WATAKIWA KUFANYIWA RASILIMALI NA MALIASILI ZETU period!
 
Yani hiyo crap aliyoandika anataka iwe na sifa ya kuitwa andiko! What a shame. Kweli hata analytical skills hana halafu Anaita aandiko.
Ukute hapo ana degree lakini hata kuandika sentences 3 zilizonyooka hawezi tena kwa lugha mama. Ni aibu tupu kwa elimu yetu na nchi yetu.
 
Wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…