Sioni sababu ya muhimu ya Rais mwenye kuzungukwa na ulinzi mkali kufanya hivi. Kwa hili napingana naye

Wewe ni chawa tu unajua nini kuhusu ulinzi , endelea kumsifia samia tu ndiyo upeo wako ulipoishia
 
Tatizo ni kuwa ukiwa chawa unakuwa kipofu! Yaani wewe hukuwahi kumuona Magufuli na silaha kiunoni?
Kikwete ni Mgambo sijui hata kama anajua kutumia silaha! Hata hivyo huwezi kumfananisha mkufunzi wa siasa jeshini na Rais Traore!
 
Hivi una akili Timamu kweli wewe? Unamfahamu vyema Mheshimiwa Jakaya Kikwete? Unafahamu historia yake ? Huna adabu kabisa wewe.
 
Aisee
 
Hivi una akili Timamu kweli wewe? Unamfahamu vyema Mheshimiwa Jakaya Kikwete? Unafahamu historia yake ? Huna adabu kabisa wewe.
Namfahamu Jakaya kama tebo ya mbili!! Namfahamu hata kuwa alikimbia toka kambi ya jeshi Monduli akimkimbia General Sayore!! Wewe chawa unaijua simulizi hiyo?
Kama unamheshimu ni wewe mimi Sina sababu ya kumuheshimu fisadi!
 
Achana na serikali za watu Lucas. Ungeanza kupinga msafara wa Rais wako wenye magari 1000 tungekuelewa.
 
Kijana ametufikia, na kuwafikia Wabukinabe. Acha jeshi lishike hatamu!
 
Sasa kwa nini utuchoshe ilihali lengo lako lilikuwa ni hizi bars chache tu mwishoni na tungekuelewa...🤔 Sehemu zako za haja kubwa🤬😤
 
mmesema nikimtukana huyu kum😕 napigwa burn!? sio haki mods kuna watu wanaderserve kabisa matusi ili wakome kuandika pumba hizi humuu
Mimi nimemtajia sehemu zake za haja kubwa nahisi haziko sawa....Na wani ban tu, nahata wakiamua kuni burn pia poa😁😅🙌
 
Unachoweza ni kuwapinga viongozi wa Nchi zingine ni kosa gani kwa Rais aliepindua kijeshi kuwa na siraha wewe tupe habari za mbegu za maharage huko mbalizi tukuelewe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…