Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Labda hao wengine. Ila Rais wetu ni akili kubwa sanaViongozi waafrica 99% hawana akili.
Namaanisha viongozi wabantu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda hao wengine. Ila Rais wetu ni akili kubwa sanaViongozi waafrica 99% hawana akili.
Namaanisha viongozi wabantu.
Wewe ni chawa tu unajua nini kuhusu ulinzi , endelea kumsifia samia tu ndiyo upeo wako ulipoishiaNdugu zangu Watanzania,
Rais na Mkuu wa Nchi ndiye kiongozi namba moja katika Nchi kupewa Ulinzi Mzito na mkubwa kila mahali awapo. Ndio jicho lote la vyombo vya ulinzi na usalama huelekeza na kupeleka umakini wake alipo Rais. Ulinzi wote wa kuonekana na usioonekana na wa kila aina ya teknolojia ni lazima uwekezwe kumzunguka Rais.
Rais hupewa walinzi makini, madhubuti, hodari,shupavu,imara , wazalendo na wenye mafunzo ya aina ya juu sana na aina tofautitofauti katika ulinzi wa Rais. Huzungukwa na walinzi ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya kumlinda Rais.wapo tayari kuwa ngao ya RAIS zidi ya kihatarisha chochote kile cha usalama wa Rais awapo popote pale.
Sasa inapotokea Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu anatembea na kuzunguka Nchi mbalimbali na maeneo mbalimbali akiwa na silaha kiunoni pake ikiwa inaonekana hadharani kwa watu. Inakuwa ni tatizo kubwa sana kwa Rais Mwenyewe. Kwa sababu hata kama Rais akitaka kuwa na silaha kiunoni pake anaweza kufanya hivyo pasipo hata kuionyesha wala mtu yeyote yule kuiona.
Kwani viongozi wangapi wanatembea na silaha viunoni Mwao? Kwanini hawazioneshi na kuziweka hadharani? Sasa kwa huyu Rais kijana kufanya hivi inakuwa siyo jambo zuri wala la busara wala la kiuongozi wala la kiungwana katika Dunia hii ya Leo.
Ambayo mtu anaweza kukudhuru hata kwa kutumia kalamu tu ya kuandikia au nyaraka tu ambazo ukapewa uzisome. Ndio maana Majeshi yote Duniani kwote kwa sasa yanawekeza sana katika Teknolojia ya juu.huko ndiko ushindani umehamia na siyo katika kutembea na silaha kiunoni inayoonekana kwa watu.View attachment 3242595
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Usijifananishe na mimi dogo. Mimi niko mbele yako Kilometa nyingi sana kwa mambo mengi.Wewe ni chawa tu unajua nini kuhusu ulinzi , endelea kumsifia samia tu ndiyo upeo wako ulipoishia
Tatizo ni kuwa ukiwa chawa unakuwa kipofu! Yaani wewe hukuwahi kumuona Magufuli na silaha kiunoni?Rais yupi hapa Nchini umewahi kuona akitembea na silaha kiunoni pake ikiwa inaonekana hadharani?
Unaposema Traole ni askari unamaanisha nini? Kwani Mheshimiwa Jakaya Kikwete hakuwa askari? Yoweli Museveni hakuwa askari? Rais wa Misiri hakuwa askari? Je umewahi kuona wakifanya hayo afanyayo huyo RAIS ?
Hivi una akili Timamu kweli wewe? Unamfahamu vyema Mheshimiwa Jakaya Kikwete? Unafahamu historia yake ? Huna adabu kabisa wewe.Tatizo ni kuwa ukiwa chawa unakuwa kipofu! Yaani wewe hukuwahi kumuona Magufuli na silaha kiunoni?
Kikwete ni Mgambo sijui hata kama anajua kutumia silaha! Hata hivyo huwezi kumfananisha mkufunzi wa siasa jeshini na Rais Traore!
AiseeNdugu zangu Watanzania,
Rais na Mkuu wa Nchi ndiye kiongozi namba moja katika Nchi kupewa Ulinzi Mzito na mkubwa kila mahali awapo. Ndio jicho lote la vyombo vya ulinzi na usalama huelekeza na kupeleka umakini wake alipo Rais. Ulinzi wote wa kuonekana na usioonekana na wa kila aina ya teknolojia ni lazima uwekezwe kumzunguka Rais.
Rais hupewa walinzi makini, madhubuti, hodari,shupavu,imara , wazalendo na wenye mafunzo ya aina ya juu sana na aina tofautitofauti katika ulinzi wa Rais. Huzungukwa na walinzi ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya kumlinda Rais.wapo tayari kuwa ngao ya RAIS zidi ya kihatarisha chochote kile cha usalama wa Rais awapo popote pale.
Sasa inapotokea Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu anatembea na kuzunguka Nchi mbalimbali na maeneo mbalimbali akiwa na silaha kiunoni pake ikiwa inaonekana hadharani kwa watu. Inakuwa ni tatizo kubwa sana kwa Rais Mwenyewe. Kwa sababu hata kama Rais akitaka kuwa na silaha kiunoni pake anaweza kufanya hivyo pasipo hata kuionyesha wala mtu yeyote yule kuiona.
Kwani viongozi wangapi wanatembea na silaha viunoni Mwao? Kwanini hawazioneshi na kuziweka hadharani? Sasa kwa huyu Rais kijana kufanya hivi inakuwa siyo jambo zuri wala la busara wala la kiuongozi wala la kiungwana katika Dunia hii ya Leo.
Ambayo mtu anaweza kukudhuru hata kwa kutumia kalamu tu ya kuandikia au nyaraka tu ambazo ukapewa uzisome. Ndio maana Majeshi yote Duniani kwote kwa sasa yanawekeza sana katika Teknolojia ya juu.huko ndiko ushindani umehamia na siyo katika kutembea na silaha kiunoni inayoonekana kwa watu.View attachment 3242595
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
mmesema nikimtukana huyu kum😕 napigwa burn!? sio haki mods kuna watu wanaderserve kabisa matusi ili wakome kuandika pumba hizi humuuMama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Mbele kwa kuwa chawa sawa. Kwa huu upuuzi unao display hapa JF wewe ni kilaza tuUsijifananishe na mimi dogo. Mimi niko mbele yako Kilometa nyingi sana kwa mambo mengi.
Namfahamu Jakaya kama tebo ya mbili!! Namfahamu hata kuwa alikimbia toka kambi ya jeshi Monduli akimkimbia General Sayore!! Wewe chawa unaijua simulizi hiyo?Hivi una akili Timamu kweli wewe? Unamfahamu vyema Mheshimiwa Jakaya Kikwete? Unafahamu historia yake ? Huna adabu kabisa wewe.
Achana na serikali za watu Lucas. Ungeanza kupinga msafara wa Rais wako wenye magari 1000 tungekuelewa.Ndugu zangu Watanzania,
Rais na Mkuu wa Nchi ndiye kiongozi namba moja katika Nchi kupewa Ulinzi Mzito na mkubwa kila mahali awapo. Ndio jicho lote la vyombo vya ulinzi na usalama huelekeza na kupeleka umakini wake alipo Rais. Ulinzi wote wa kuonekana na usioonekana na wa kila aina ya teknolojia ni lazima uwekezwe kumzunguka Rais.
Rais hupewa walinzi makini, madhubuti, hodari,shupavu,imara , wazalendo na wenye mafunzo ya aina ya juu sana na aina tofautitofauti katika ulinzi wa Rais. Huzungukwa na walinzi ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya kumlinda Rais.wapo tayari kuwa ngao ya RAIS zidi ya kihatarisha chochote kile cha usalama wa Rais awapo popote pale.
Sasa inapotokea Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu anatembea na kuzunguka Nchi mbalimbali na maeneo mbalimbali akiwa na silaha kiunoni pake ikiwa inaonekana hadharani kwa watu. Inakuwa ni tatizo kubwa sana kwa Rais Mwenyewe. Kwa sababu hata kama Rais akitaka kuwa na silaha kiunoni pake anaweza kufanya hivyo pasipo hata kuionyesha wala mtu yeyote yule kuiona.
Kwani viongozi wangapi wanatembea na silaha viunoni Mwao? Kwanini hawazioneshi na kuziweka hadharani? Sasa kwa huyu Rais kijana kufanya hivi inakuwa siyo jambo zuri wala la busara wala la kiuongozi wala la kiungwana katika Dunia hii ya Leo.
Ambayo mtu anaweza kukudhuru hata kwa kutumia kalamu tu ya kuandikia au nyaraka tu ambazo ukapewa uzisome. Ndio maana Majeshi yote Duniani kwote kwa sasa yanawekeza sana katika Teknolojia ya juu.huko ndiko ushindani umehamia na siyo katika kutembea na silaha kiunoni inayoonekana kwa watu.View attachment 3242595
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Jikite kwenye hojaIjue mipaka yako.... sio kila kitu utajua.
Hayo magari 1000 huwa unayaweka wewe.Achana na serikali za watu Lucas. Ungeanza kupinga msafara wa Rais wako wenye magari 1000 tungekuelewa.
Mbele kwa akili ,maarifa,maono na upeoMbele kwa kuwa chawa sawa.
Kuwa muelewa basi Mkuu.Jikite kwenye hoja
Sasa kwa nini utuchoshe ilihali lengo lako lilikuwa ni hizi bars chache tu mwishoni na tungekuelewa...🤔 Sehemu zako za haja kubwa🤬😤Ndugu zangu Watanzania,
Rais na Mkuu wa Nchi ndiye kiongozi namba moja katika Nchi kupewa Ulinzi Mzito na mkubwa kila mahali awapo. Ndio jicho lote la vyombo vya ulinzi na usalama huelekeza na kupeleka umakini wake alipo Rais. Ulinzi wote wa kuonekana na usioonekana na wa kila aina ya teknolojia ni lazima uwekezwe kumzunguka Rais.
Rais hupewa walinzi makini, madhubuti, hodari,shupavu,imara , wazalendo na wenye mafunzo ya aina ya juu sana na aina tofautitofauti katika ulinzi wa Rais. Huzungukwa na walinzi ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya kumlinda Rais.wapo tayari kuwa ngao ya RAIS zidi ya kihatarisha chochote kile cha usalama wa Rais awapo popote pale.
Sasa inapotokea Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu anatembea na kuzunguka Nchi mbalimbali na maeneo mbalimbali akiwa na silaha kiunoni pake ikiwa inaonekana hadharani kwa watu. Inakuwa ni tatizo kubwa sana kwa Rais Mwenyewe. Kwa sababu hata kama Rais akitaka kuwa na silaha kiunoni pake anaweza kufanya hivyo pasipo hata kuionyesha wala mtu yeyote yule kuiona.
Kwani viongozi wangapi wanatembea na silaha viunoni Mwao? Kwanini hawazioneshi na kuziweka hadharani? Sasa kwa huyu Rais kijana kufanya hivi inakuwa siyo jambo zuri wala la busara wala la kiuongozi wala la kiungwana katika Dunia hii ya Leo.
Ambayo mtu anaweza kukudhuru hata kwa kutumia kalamu tu ya kuandikia au nyaraka tu ambazo ukapewa uzisome. Ndio maana Majeshi yote Duniani kwote kwa sasa yanawekeza sana katika Teknolojia ya juu.huko ndiko ushindani umehamia na siyo katika kutembea na silaha kiunoni inayoonekana kwa watu.View attachment 3242595
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mimi nimemtajia sehemu zake za haja kubwa nahisi haziko sawa....Na wani ban tu, nahata wakiamua kuni burn pia poa😁😅🙌mmesema nikimtukana huyu kum😕 napigwa burn!? sio haki mods kuna watu wanaderserve kabisa matusi ili wakome kuandika pumba hizi humuu
Sasa huko ndio kujibu hoja? Kuwa chawa kunakufanya uwe maruhuni!Hayo magari 1000 huwa unayaweka wewe.