Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #61
Unafahamu ukumbwa wa magari Elfu moja? Au hata elfu moja huelewi maana yake.Yaani wewe chawa hujawahi kuona msululu wa magari anaoongozana nao mama yenu anaposafiri kwenda Tanganyika bara? Wewe kipofu wa aina gani?
Sawa ndugu yangu wa home kabisa wewe wacha nikusikilize bhana.Mimi nawapeni ukweli bila kujali mipaka.
Wewe sio m'bukinabe, so nyamazaNdugu zangu Watanzania,
Rais na Mkuu wa Nchi ndiye kiongozi namba moja katika Nchi kupewa Ulinzi Mzito na mkubwa kila mahali awapo. Ndio jicho lote la vyombo vya ulinzi na usalama huelekeza na kupeleka umakini wake alipo Rais. Ulinzi wote wa kuonekana na usioonekana na wa kila aina ya teknolojia ni lazima uwekezwe kumzunguka Rais.
Rais hupewa walinzi makini, madhubuti, hodari,shupavu,imara , wazalendo na wenye mafunzo ya aina ya juu sana na aina tofautitofauti katika ulinzi wa Rais. Huzungukwa na walinzi ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya kumlinda Rais.wapo tayari kuwa ngao ya RAIS zidi ya kihatarisha chochote kile cha usalama wa Rais awapo popote pale.
Sasa inapotokea Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu anatembea na kuzunguka Nchi mbalimbali na maeneo mbalimbali akiwa na silaha kiunoni pake ikiwa inaonekana hadharani kwa watu. Inakuwa ni tatizo kubwa sana kwa Rais Mwenyewe. Kwa sababu hata kama Rais akitaka kuwa na silaha kiunoni pake anaweza kufanya hivyo pasipo hata kuionyesha wala mtu yeyote yule kuiona.
Kwani viongozi wangapi wanatembea na silaha viunoni Mwao? Kwanini hawazioneshi na kuziweka hadharani? Sasa kwa huyu Rais kijana kufanya hivi inakuwa siyo jambo zuri wala la busara wala la kiuongozi wala la kiungwana katika Dunia hii ya Leo.
Ambayo mtu anaweza kukudhuru hata kwa kutumia kalamu tu ya kuandikia au nyaraka tu ambazo ukapewa uzisome. Ndio maana Majeshi yote Duniani kwote kwa sasa yanawekeza sana katika Teknolojia ya juu.huko ndiko ushindani umehamia na siyo katika kutembea na silaha kiunoni inayoonekana kwa watu.View attachment 3242595
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Upo mbele kilometa nyingi kwa umasikini na uchawa..Usijifananishe na mimi dogo. Mimi niko mbele yako Kilometa nyingi sana kwa mambo mengi.
Acha dharau weweUpo mbele kilometa nyingi kwa umasikini na uchawa..
Raisi bora Africa huyo wewe upo duniagani? Unataka mum fanya kama Sankara ehhh Mungu amlinde huyu jemedaliNdugu zangu Watanzania,
Rais na Mkuu wa Nchi ndiye kiongozi namba moja katika Nchi kupewa Ulinzi Mzito na mkubwa kila mahali awapo. Ndio jicho lote la vyombo vya ulinzi na usalama huelekeza na kupeleka umakini wake alipo Rais. Ulinzi wote wa kuonekana na usioonekana na wa kila aina ya teknolojia ni lazima uwekezwe kumzunguka Rais.
Rais hupewa walinzi makini, madhubuti, hodari,shupavu,imara , wazalendo na wenye mafunzo ya aina ya juu sana na aina tofautitofauti katika ulinzi wa Rais. Huzungukwa na walinzi ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya kumlinda Rais.wapo tayari kuwa ngao ya RAIS zidi ya kihatarisha chochote kile cha usalama wa Rais awapo popote pale.
Sasa inapotokea Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu anatembea na kuzunguka Nchi mbalimbali na maeneo mbalimbali akiwa na silaha kiunoni pake ikiwa inaonekana hadharani kwa watu. Inakuwa ni tatizo kubwa sana kwa Rais Mwenyewe. Kwa sababu hata kama Rais akitaka kuwa na silaha kiunoni pake anaweza kufanya hivyo pasipo hata kuionyesha wala mtu yeyote yule kuiona.
Kwani viongozi wangapi wanatembea na silaha viunoni Mwao? Kwanini hawazioneshi na kuziweka hadharani? Sasa kwa huyu Rais kijana kufanya hivi inakuwa siyo jambo zuri wala la busara wala la kiuongozi wala la kiungwana katika Dunia hii ya Leo.
Ambayo mtu anaweza kukudhuru hata kwa kutumia kalamu tu ya kuandikia au nyaraka tu ambazo ukapewa uzisome. Ndio maana Majeshi yote Duniani kwote kwa sasa yanawekeza sana katika Teknolojia ya juu.huko ndiko ushindani umehamia na siyo katika kutembea na silaha kiunoni inayoonekana kwa watu.View attachment 3242595
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Rais Bora Barani Afrika ni Jemedari Mama Samia Suluhu Hasssan.Raisi bora Africa huyo wewe upo duniagani? Unataka mum fanya kama Sankara ehhh Mungu amlinde huyu jemedali
Kweli wewe huna akili kabisa.Hauna akili. Silaha ya ibrahim traore ni ishara ya kuwa licha ya wasaidizi wake kuwa tayari kufa kwaajili yake, yeye pia yupo tayari kujilinda hadi tone la mwisho la damu yake. Shenzi type
wewe huna akili kabisa kabisaaaKweli wewe huna akili kabisa.
Kumbuka Serikali yake ni Serikali ya Kijeshi siyo serikali ya kiraia.
Harafu ya Wakinabe yanakuhusu nini?
Sisi huku tuendelee na slogan za MAMA.
Mimi nina akili kubwa sana ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa mawazo na chuki binafsiwewe huna akili kabisa kabisaaa
Rais wetu ni Rais anayejitambua na aliyekomaa kiakili na kiuongozi na hawezi kufanya jambo hilo.Hata Mama Samia nae awe anavaa hivyo na kubeba hayo mabunduki kiunoni,hakuna anayemkataza.
we mwasambwa huna akili. Kiongozi wa kijeshi, tena anayesakamwa na mabeberu ya dunia nzima unafilia ni jibu gani linafaa kuwa kwa nini astembee na silaha kiunoni? Ivi unafikiri mh. Rais wetu hana siraha? Au hayo mavazi ya kubana ya traore ulitegemea ataificha wapi hiyo bastola? Rais yeyote,namaanisha yeyote licha ya kuwa na walinzi binafsi na walinzi wa kila aina nae ana ulinzi wake binafsi hasa bastola zenye risasi. Sema tu mavazi yao ya kupwaya hasa suruali pana zinaruhusu wafiche silaha zao humo tofauti na traore mwenye mavazi ya kijeshi ya kubana..Rais yupi hapa Nchini umewahi kuona akitembea na silaha kiunoni pake ikiwa inaonekana hadharani?
Unaposema Traole ni askari unamaanisha nini? Kwani Mheshimiwa Jakaya Kikwete hakuwa askari? Yoweli Museveni hakuwa askari? Rais wa Misiri hakuwa askari? Je umewahi kuona wakifanya hayo afanyayo huyo RAIS ?
Siyo kweli . Weka ushahidi
Ungekuwa karibu ningekucharaza makofiMimi nina akili kubwa sana ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa mawazo na chuki binafsi