Sioni sababu ya muhimu ya Rais mwenye kuzungukwa na ulinzi mkali kufanya hivi. Kwa hili napingana naye

Yaani wewe chawa hujawahi kuona msululu wa magari anaoongozana nao mama yenu anaposafiri kwenda Tanganyika bara? Wewe kipofu wa aina gani?
Unafahamu ukumbwa wa magari Elfu moja? Au hata elfu moja huelewi maana yake.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais na Mkuu wa Nchi ndiye kiongozi namba moja katika Nchi kupewa Ulinzi Mzito na mkubwa kila mahali awapo. Ndio jicho lote la vyombo vya ulinzi na usalama huelekeza na kupeleka umakini wake alipo Rais. Ulinzi wote wa kuonekana na usioonekana na wa kila aina ya teknolojia ni lazima uwekezwe kumzunguka Rais.

Rais hupewa walinzi makini, madhubuti, hodari,shupavu,imara , wazalendo na wenye mafunzo ya aina ya juu sana na aina tofautitofauti katika ulinzi wa Rais. Huzungukwa na walinzi ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya kumlinda Rais.wapo tayari kuwa ngao ya RAIS zidi ya kihatarisha chochote kile cha usalama wa Rais awapo popote pale.

Sasa inapotokea Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu anatembea na kuzunguka Nchi mbalimbali na maeneo mbalimbali akiwa na silaha kiunoni pake ikiwa inaonekana hadharani kwa watu. Inakuwa ni tatizo kubwa sana kwa Rais Mwenyewe. Kwa sababu hata kama Rais akitaka kuwa na silaha kiunoni pake anaweza kufanya hivyo pasipo hata kuionyesha wala mtu yeyote yule kuiona.

Kwani viongozi wangapi wanatembea na silaha viunoni Mwao? Kwanini hawazioneshi na kuziweka hadharani? Sasa kwa huyu Rais kijana kufanya hivi inakuwa siyo jambo zuri wala la busara wala la kiuongozi wala la kiungwana katika Dunia hii ya Leo.

Ambayo mtu anaweza kukudhuru hata kwa kutumia kalamu tu ya kuandikia au nyaraka tu ambazo ukapewa uzisome. Ndio maana Majeshi yote Duniani kwote kwa sasa yanawekeza sana katika Teknolojia ya juu.huko ndiko ushindani umehamia na siyo katika kutembea na silaha kiunoni inayoonekana kwa watu.View attachment 3242595

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe sio m'bukinabe, so nyamaza
 
Raisi bora Africa huyo wewe upo duniagani? Unataka mum fanya kama Sankara ehhh Mungu amlinde huyu jemedali
 
Hauna akili. Silaha ya ibrahim traore ni ishara ya kuwa licha ya wasaidizi wake kuwa tayari kufa kwaajili yake, yeye pia yupo tayari kujilinda hadi tone la mwisho la damu yake. Shenzi type
 
Kweli wewe huna akili kabisa.
 
Hata Mama Samia nae awe anavaa hivyo na kubeba hayo mabunduki kiunoni,hakuna anayemkataza.
 
Kwa mfano ningekuwa rais wa Tanganyika ningetembea na AK47 Begani kwa ajili ya chawa tu kama nyie..

Mbozi hakika tumepata hasara sana!
 
Rais yupi hapa Nchini umewahi kuona akitembea na silaha kiunoni pake ikiwa inaonekana hadharani?

Unaposema Traole ni askari unamaanisha nini? Kwani Mheshimiwa Jakaya Kikwete hakuwa askari? Yoweli Museveni hakuwa askari? Rais wa Misiri hakuwa askari? Je umewahi kuona wakifanya hayo afanyayo huyo RAIS ?
we mwasambwa huna akili. Kiongozi wa kijeshi, tena anayesakamwa na mabeberu ya dunia nzima unafilia ni jibu gani linafaa kuwa kwa nini astembee na silaha kiunoni? Ivi unafikiri mh. Rais wetu hana siraha? Au hayo mavazi ya kubana ya traore ulitegemea ataificha wapi hiyo bastola? Rais yeyote,namaanisha yeyote licha ya kuwa na walinzi binafsi na walinzi wa kila aina nae ana ulinzi wake binafsi hasa bastola zenye risasi. Sema tu mavazi yao ya kupwaya hasa suruali pana zinaruhusu wafiche silaha zao humo tofauti na traore mwenye mavazi ya kijeshi ya kubana..
 
Back
Top Bottom