Sioni sababu ya muhimu ya Rais mwenye kuzungukwa na ulinzi mkali kufanya hivi. Kwa hili napingana naye

Wewe huwezi elewa, hii ni psychologically game in a world class politics. Kwanza inatakiwa ujue Traore amepata madaraka kijeshi kwaiyo yeye kuwa na gun all the time it send a certain message (intimidation, threat) kwaiyo huu muonekano wake tu unakufanya ufikirie mara 2 kama unataka kumvamia kwa namna yoyote Ile. The world arena always recognize power and power recognize power so Traore utamuona popote duniani hata kwenye ikulu ya America akiwa na gun waziwazi hivyovyo na Trump atampa tano kama kawaida. I don't think you can understand the concept behind everything you see on Traore's outfits.
 
Yeye bado ni Mwanajeshi sio kiongozi wa kiraia wa kawaida !
Ni lazima awe full masinondo kwa lolote lile linaloweza kutokea mahali popote pale !
Mpaka atakapostaafu jeshini ndipo atakapokuwa Kiongozi wa kawaida wa kidemokrasia wa kiraia !!😳 🫡 🙏
 
True !
 
Kwani yeye ndio kiongozi wa kwanza kupata madaraka kwa njia ya kijeshi? Kwani Rais wa Misiri yeye hakupata madaraka kwa njia ya kijeshi? Je anafanya hayo ayafanyayo huyo RAIS? Je alipokuwa urussi kuonana na putin uliona akiwa ameweka silaha hiyo kiunoni pake? Kwanini hakuweka ?
 
Unamfahamu Rais wa Misiri anaitwa nani? Unafahamu njia aliyoingilia madarakani kwa mara ya kwanza? Je umewahi akifanya hayo ya huyo RAIS?
 
Lukas endelea na kuipamba ccm na mama samiha huku unapogusa ni maji marefu sana watu wameshauza roho..
 
Kweli nimeamini huna akili kabisa. Embu nijibu swali kuwa ni wapi uliiona silaha hiyo alipoonana na Rais putin wa Urusi? Kwani yeye ndiye Rais wa kwanza wa Kijeshi kuongoza serikali? Marais wangapi Afrika wameingia kijeshi madarakani na hawajawahi kufanya afanyayo huyu Rais?
 
Unamfahamu Rais wa Misiri anaitwa nani? Unafahamu njia aliyoingilia madarakani kwa mara ya kwanza? Je umewahi akifanya hayo ya huyo RAIS?
Traore ni habari nyingine kabisa !
Traore hayupo pale kama Rais bali kama Kiongozi wa kijeshi wa Bukina faso !
Watu wawili tofauti kabisa !
Mmoja anavaa suti mwingine anavaa kombati 🫡 👍
 
Umesahau jinsi Dikteta Uchwara alivyokuwa analindwa na platoon ya askari na magari ya kuzuia mawasiliano ya simu.
Mama yako kwenye picha naoona company ya askari wakati huyu ana watu wanne tuu .
 
Umesahau jinsi Dikteta Uchwara alivyokuwa analindwa na platoon ya askari na magari ya kuzuia mawasiliano ya simu.
Mama yako kwenye picha naoona company ya askari wakati huyu ana watu wanne tuu .
Je uliona nani katika Taifa letu akiweka silaha kiunoni kama hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…