Sioni sababu ya muhimu ya Rais mwenye kuzungukwa na ulinzi mkali kufanya hivi. Kwa hili napingana naye

Kuna kitu kinaitwa FBO,, full battle order! Hususani kwa commando hiyo ni dress code na inamlazimu siraha kuweka wazi kulingana na Hali yake kiusalama ipoje? Ukumbuke huyo kiongoz ameshakoswa kuuwawa mara 10 hivyo anawajibika kulindwa na kujirinda kuonekana kwa siraha vile ni Hali inayompa wepesi hususani kwa muda akihitaji kuitumia kwa haraka pasipo kutokea kikwazo kama akificha itakuwa ngumu kujitetea. Level of security awareness inategemea na usalama wa nchi! Kwa uwezo wangu mdogo wa kung'amua mambo
 
Nionyeshe picha ya silaha kiunoni alipokutana na Putin wa urussi
 
Usijizime data chawa wewe! Traore ni mshirika wa Russia na anapewa suppor zote kutoka huko, na amehakikishiwa usalama na Rais Putin na walinzi wake asilimia kubwa ni kutoka Rusia,niambie chawa wewe unawezaje kwenda sehemu unayoiamini ni salama na friendly kwa maisha yako huku ukiwa na bunduki? Anakuwa nayo mahali ambapo hapaamini kuwa ni sehumu salama. Endelea kulima magimbi mkuu
 
Kabla hatujaongelea ulinzi wa mtu husika tungeongelea ulinzi wa mali za UMMA which most of the leaders (walamba asali) have failed to do..., bora huyo anayeonyesha tu image yake au swagger (haina hasara kwa kodi za wenyenchi) kuliko hawa wanaotumia misafara ya magari ambayo trip moja tu ingeweza kuongeza idadi ya ambulance...
 
Mkuu bulletproof kwa maraisi unalizungumzia vipi?
 
Sasa anaenda kufanya nini mahali ambapo hapaamini? Kwani analazimishwa kwenda eneo ambalo anaona hakuna usalama?
 
 
Asituhamishe kwenye mjadala wa kwa nini mama yenu ajiteue kugombea urais kinyume na katiba ya chama?
 
Mkuu mbona nimekujibu vzr kbsaaa? Nimekwambia inategemea na level of security awareness ya nchi! Kulingana na ukilaza wangu,, lkn sipingani na ujuaji wako,
Nionyeshe picha ya silaha kiunoni alipokutana na Putin wa urussi
Mkuu mbona nimekujibu vzr kbsaaa? Nimekwambia inategemea na level of security awareness ya nchi ndugu yangu? Kulingana na ukilaza wangu Sina nguvu yakukupinga kwa ujuvi wako!
Nionyeshe picha ya silaha kiunoni alipokutana na Putin wa urussi
 
Sasa anaenda kufanya nini mahali ambapo hapaamini? Kwani analazimishwa kwenda eneo ambalo anaona hakuna usalama?
Ndo maana nikakwambia huna akili, sehem salama zaidi kwa maisha yake ni Russia tu na si kwingine. Ila ataishije huku kwingine ili hali hapaamini? Ndo kama hivyo anaamua kutembea na bastora yenye risasi, maadui zake hasa France wanaweza kujipenyeza popote isipokuwa Russia na kutekeleza mauaji yake,hivyo akiwa sehemu hizo lazma aongeza ulinzi binafsi. Kwa nini aende sehemu anayoamini kuwa si salama? Traore ni kiongozi wa Burkina Faso, anatafuta support both kidiplomasia,kiuchumi,kisiasa na kimataifa hivyo analazimika kutembelea sehemu hizo kwa maslahi ya taifa lake lakini kwa tahadhari kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…