Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #121
Kwamba kuweka silaha kiunoni ikiwa wazi hivyo ndio ulinzi kwako ? Kwamba hawezi kudhurika wakitaka kumdhuru?Ndo maana nikakwambia huna akili, sehem salama zaidi kwa maisha yake ni Russia tu na si kwingine. Ila ataishije huku kwingine ili hali hapaamini? Ndo kama hivyo anaamua kutembea na bastora yenye risasi, maadui zake hasa France wanaweza kujipenyeza popote isipokuwa Russia na kutekeleza mauaji yake,hivyo akiwa sehemu hizo lazma aongeza ulinzi binafsi. Kwa nini aende sehemu anayoamini kuwa si salama? Traore ni kiongozi wa Burkina Faso, anatafuta support both kidiplomasia,kiuchumi,kisiasa na kimataifa hivyo analazimika kutembelea sehemu hizo kwa maslahi ya taifa lake lakini kwa tahadhari kubwa.
usimuabudu huyu chawa na vihoja vyake butu,nimemjibu tayari angalia post yangu hapo juuMkuu mbona nimekujibu vzr kbsaaa? Nimekwambia inategemea na level of security awareness ya nchi! Kulingana na ukilaza wangu,, lkn sipingani na ujuaji wako,
Mkuu mbona nimekujibu vzr kbsaaa? Nimekwambia inategemea na level of security awareness ya nchi ndugu yangu? Kulingana na ukilaza wangu Sina nguvu yakukupinga kwa ujuvi wako!
Unaelewa picha hii ilichukuliwa katika tukio lipi? Nimekuambia kuwa unafikiri viongozi mbalimbali duniani hawabebi silaha viunoni mwao? Je umewahi kuona wakiweka kama anavyofanya huyo kijana?
Wewe huna hojausimuabudu huyu chawa na vihoja vyake butu,nimemjibu tayari angalia post yangu hapo juu
mwanzo nilikwambiaje? Nlikwambia mavazi yake ya kubana ya kijeshi yanamfanya aweke hivyo. Marais na viongozi wote wana silaha kama hiyo kutokana na mavazi yao,mapana plus makoti ndio yanachangia kwa kiasi kikubwa silaha kutoonekana. Unafikiri traore afiche wapi silaha yake hiyo ili isionekane? Zinduka mkuuKwamba kuweka silaha kiunoni ikiwa wazi hivyo ndio ulinzi kwako ? Kwamba hawezi kudhurika wakitaka kumdhuru?
Hoja yako dhaifu sana . umejibu Utafikiri mtoto Mdogomwanzo nilikwambiaje? Nlikwambia mavazi yake ya kubana ya kijeshi yanamfanya aweke hivyo. Marais na viongozi wote wana silaha kama hiyo kutokana na mavazi yao,mapana plus makoti ndio yanachangia kwa kiasi kikubwa silaha kutoonekana. Unafikiri traore afiche wapi silaha yake hiyo ili isionekane? Zinduka mkuu
Wewe kama nani umpangie atokeje? Wewe nani anakupangia kuwa leo uvae bikini ya rangi gani? Huna hoja achana na maisha ya watu ambao hawakuhusu.Unaelewa picha hii ilichukuliwa katika tukio lipi? Nimekuambia kuwa unafikiri viongozi mbalimbali duniani hawabebi silaha viunoni mwao? Je umewahi kuona wakiweka kama anavyofanya huyo kijana?
unaniuliza au unaniambia? Umekosa maswali?Hoja yako dhaifu sana . umejibu Utafikiri mtoto Mdogo
You need to have a firm mental word with yourself β βYou have no control over this, there is not a thing you can do go change it or stop it, but you CAN control how you act and react. This is my plan when i need to face it β i WILL control my emotion, i will co operate and i will go to bed tonight, proud of how i conducted myself today.β No tears , no tantrums, acceptance.Ndugu zangu Watanzania,
Rais na Mkuu wa Nchi ndiye kiongozi namba moja katika Nchi kupewa Ulinzi Mzito na mkubwa kila mahali awapo. Ndio jicho lote la vyombo vya ulinzi na usalama huelekeza na kupeleka umakini wake alipo Rais. Ulinzi wote wa kuonekana na usioonekana na wa kila aina ya teknolojia ni lazima uwekezwe kumzunguka Rais.
Rais hupewa walinzi makini, madhubuti, hodari,shupavu,imara , wazalendo na wenye mafunzo ya aina ya juu sana na aina tofautitofauti katika ulinzi wa Rais. Huzungukwa na walinzi ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya kumlinda Rais.wapo tayari kuwa ngao ya RAIS zidi ya kihatarisha chochote kile cha usalama wa Rais awapo popote pale.
Sasa inapotokea Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu anatembea na kuzunguka Nchi mbalimbali na maeneo mbalimbali akiwa na silaha kiunoni pake ikiwa inaonekana hadharani kwa watu. Inakuwa ni tatizo kubwa sana kwa Rais Mwenyewe. Kwa sababu hata kama Rais akitaka kuwa na silaha kiunoni pake anaweza kufanya hivyo pasipo hata kuionyesha wala mtu yeyote yule kuiona.
Kwani viongozi wangapi wanatembea na silaha viunoni Mwao? Kwanini hawazioneshi na kuziweka hadharani? Sasa kwa huyu Rais kijana kufanya hivi inakuwa siyo jambo zuri wala la busara wala la kiuongozi wala la kiungwana katika Dunia hii ya Leo.
Ambayo mtu anaweza kukudhuru hata kwa kutumia kalamu tu ya kuandikia au nyaraka tu ambazo ukapewa uzisome. Ndio maana Majeshi yote Duniani kwote kwa sasa yanawekeza sana katika Teknolojia ya juu.huko ndiko ushindani umehamia na siyo katika kutembea na silaha kiunoni inayoonekana kwa watu.View attachment 3242595
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huyo dogo ana ujuaji wa kishamba sana, sasa yeye kama nani ampangie jinsi ya kuvaa Rais wa Taifa lingine? Alikuja Fidel Castro hapa yeye alikuwa na bastola mbili kiunoni yeye anashangaa hiyo moja, kila mtu ana staili yake lakini mshamba ameona ni ishu hadi kuifungulia uzi hapa.Lucas Mwashambwa ameufyata.
ameleta mjadala huru,tumemjibu amekosa cha kujibu ameufyata. Lucas Mwashambwa njoo bhana kuna soda nimekununulia uje uhoji kwa nini wanawake wanavaa ushungi hoja zako zijikite kwa unae muabudu.Huyo dogo ana ujuaji wa kishamba sana, sasa yeye kama nani ampangie jinsi ya kuvaa Rais wa Taifa lingine? Alikuja Fidel Castro hapa yeye alikuwa na bastola mbili kiunoni yeye anashangaa hiyo moja, kila mtu ana stsili yake lakini mshamba ameona ni shu hadi kuifungulia uzi hapa.
full magazainehako kabastola kanafanya kazi?
Ndugu zangu Watanzania,
Rais na Mkuu wa Nchi ndiye kiongozi namba moja katika Nchi kupewa Ulinzi Mzito na mkubwa kila mahali awapo. Ndio jicho lote la vyombo vya ulinzi na usalama huelekeza na kupeleka umakini wake alipo Rais. Ulinzi wote wa kuonekana na usioonekana na wa kila aina ya teknolojia ni lazima uwekezwe kumzunguka Rais.
Rais hupewa walinzi makini, madhubuti, hodari,shupavu,imara , wazalendo na wenye mafunzo ya aina ya juu sana na aina tofautitofauti katika ulinzi wa Rais. Huzungukwa na walinzi ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya kumlinda Rais.wapo tayari kuwa ngao ya RAIS zidi ya kihatarisha chochote kile cha usalama wa Rais awapo popote pale.
Sasa inapotokea Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu anatembea na kuzunguka Nchi mbalimbali na maeneo mbalimbali akiwa na silaha kiunoni pake ikiwa inaonekana hadharani kwa watu. Inakuwa ni tatizo kubwa sana kwa Rais Mwenyewe. Kwa sababu hata kama Rais akitaka kuwa na silaha kiunoni pake anaweza kufanya hivyo pasipo hata kuionyesha wala mtu yeyote yule kuiona.
Kwani viongozi wangapi wanatembea na silaha viunoni Mwao? Kwanini hawazioneshi na kuziweka hadharani? Sasa kwa huyu Rais kijana kufanya hivi inakuwa siyo jambo zuri wala la busara wala la kiuongozi wala la kiungwana katika Dunia hii ya Leo.
Ambayo mtu anaweza kukudhuru hata kwa kutumia kalamu tu ya kuandikia au nyaraka tu ambazo ukapewa uzisome. Ndio maana Majeshi yote Duniani kwote kwa sasa yanawekeza sana katika Teknolojia ya juu.huko ndiko ushindani umehamia na siyo katika kutembea na silaha kiunoni inayoonekana kwa watu.View attachment 3242595
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tangu lini jinga kama wewe likaelewa. Huyo ni mwanamapinduzi na siyo kama ng'ombe Yako. Jinga na mbwa wewe. Kufa Leo kwa mapenzi ya Mungu majinga na misukule ipungue nchini. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisaNdugu zangu Watanzania,
Rais na Mkuu wa Nchi ndiye kiongozi namba moja katika Nchi kupewa Ulinzi Mzito na mkubwa kila mahali awapo. Ndio jicho lote la vyombo vya ulinzi na usalama huelekeza na kupeleka umakini wake alipo Rais. Ulinzi wote wa kuonekana na usioonekana na wa kila aina ya teknolojia ni lazima uwekezwe kumzunguka Rais.
Rais hupewa walinzi makini, madhubuti, hodari,shupavu,imara , wazalendo na wenye mafunzo ya aina ya juu sana na aina tofautitofauti katika ulinzi wa Rais. Huzungukwa na walinzi ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya kumlinda Rais.wapo tayari kuwa ngao ya RAIS zidi ya kihatarisha chochote kile cha usalama wa Rais awapo popote pale.
Sasa inapotokea Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu anatembea na kuzunguka Nchi mbalimbali na maeneo mbalimbali akiwa na silaha kiunoni pake ikiwa inaonekana hadharani kwa watu. Inakuwa ni tatizo kubwa sana kwa Rais Mwenyewe. Kwa sababu hata kama Rais akitaka kuwa na silaha kiunoni pake anaweza kufanya hivyo pasipo hata kuionyesha wala mtu yeyote yule kuiona.
Kwani viongozi wangapi wanatembea na silaha viunoni Mwao? Kwanini hawazioneshi na kuziweka hadharani? Sasa kwa huyu Rais kijana kufanya hivi inakuwa siyo jambo zuri wala la busara wala la kiuongozi wala la kiungwana katika Dunia hii ya Leo.
Ambayo mtu anaweza kukudhuru hata kwa kutumia kalamu tu ya kuandikia au nyaraka tu ambazo ukapewa uzisome. Ndio maana Majeshi yote Duniani kwote kwa sasa yanawekeza sana katika Teknolojia ya juu.huko ndiko ushindani umehamia na siyo katika kutembea na silaha kiunoni inayoonekana kwa watu.View attachment 3242595
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
π π π πDogo acha porojo za hapa na pale jamvini. Yani wewe tukichukua nchi tutawasomba pamoja na machawa wenzako kuwapeleka mashamba ya ushirika kulima ghala la taifa lijae na kuneemesha.
Nyau de adriz
Kanapulizia perfumehako kabastola kanafanya kazi?