Sioni sababu ya muhimu ya Rais mwenye kuzungukwa na ulinzi mkali kufanya hivi. Kwa hili napingana naye

Ndo maana nikakwambia huna akili, sehem salama zaidi kwa maisha yake ni Russia tu na si kwingine. Ila ataishije huku kwingine ili hali hapaamini? Ndo kama hivyo anaamua kutembea na bastora yenye risasi, maadui zake hasa France wanaweza kujipenyeza popote isipokuwa Russia na kutekeleza mauaji yake,hivyo akiwa sehemu hizo lazma aongeza ulinzi binafsi. Kwa nini aende sehemu anayoamini kuwa si salama? Traore ni kiongozi wa Burkina Faso, anatafuta support both kidiplomasia,kiuchumi,kisiasa na kimataifa hivyo analazimika kutembelea sehemu hizo kwa maslahi ya taifa lake lakini kwa tahadhari kubwa.
Kwamba kuweka silaha kiunoni ikiwa wazi hivyo ndio ulinzi kwako ? Kwamba hawezi kudhurika wakitaka kumdhuru?
 
Mkuu mbona nimekujibu vzr kbsaaa? Nimekwambia inategemea na level of security awareness ya nchi! Kulingana na ukilaza wangu,, lkn sipingani na ujuaji wako,

Mkuu mbona nimekujibu vzr kbsaaa? Nimekwambia inategemea na level of security awareness ya nchi ndugu yangu? Kulingana na ukilaza wangu Sina nguvu yakukupinga kwa ujuvi wako!
usimuabudu huyu chawa na vihoja vyake butu,nimemjibu tayari angalia post yangu hapo juu
 
Kwamba kuweka silaha kiunoni ikiwa wazi hivyo ndio ulinzi kwako ? Kwamba hawezi kudhurika wakitaka kumdhuru?
mwanzo nilikwambiaje? Nlikwambia mavazi yake ya kubana ya kijeshi yanamfanya aweke hivyo. Marais na viongozi wote wana silaha kama hiyo kutokana na mavazi yao,mapana plus makoti ndio yanachangia kwa kiasi kikubwa silaha kutoonekana. Unafikiri traore afiche wapi silaha yake hiyo ili isionekane? Zinduka mkuu
 
Rais wa kimapinduzi tena mjeda ni kawaida sana.Mwaka 1800 kuna aliyekuwa akitembea amebeba magobore 15
 
mwanzo nilikwambiaje? Nlikwambia mavazi yake ya kubana ya kijeshi yanamfanya aweke hivyo. Marais na viongozi wote wana silaha kama hiyo kutokana na mavazi yao,mapana plus makoti ndio yanachangia kwa kiasi kikubwa silaha kutoonekana. Unafikiri traore afiche wapi silaha yake hiyo ili isionekane? Zinduka mkuu
Hoja yako dhaifu sana . umejibu Utafikiri mtoto Mdogo
 
Unaelewa picha hii ilichukuliwa katika tukio lipi? Nimekuambia kuwa unafikiri viongozi mbalimbali duniani hawabebi silaha viunoni mwao? Je umewahi kuona wakiweka kama anavyofanya huyo kijana?
Wewe kama nani umpangie atokeje? Wewe nani anakupangia kuwa leo uvae bikini ya rangi gani? Huna hoja achana na maisha ya watu ambao hawakuhusu.
 
Huyo ni askari mwanamapinduzi aliyeimpindua nchi kwa nguvu na si demokrasia.....vyovyote iwavyo anaweza kuwa na "style" zake katika uongozi alionao....

Ukisikia ile kotapini ya mh.Rais Museveni ndiyo hiyo sasa....yaani ukipataka alipo basi ipitie njia hizohizo zilizomfikisha hapo.....
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais na Mkuu wa Nchi ndiye kiongozi namba moja katika Nchi kupewa Ulinzi Mzito na mkubwa kila mahali awapo. Ndio jicho lote la vyombo vya ulinzi na usalama huelekeza na kupeleka umakini wake alipo Rais. Ulinzi wote wa kuonekana na usioonekana na wa kila aina ya teknolojia ni lazima uwekezwe kumzunguka Rais.

Rais hupewa walinzi makini, madhubuti, hodari,shupavu,imara , wazalendo na wenye mafunzo ya aina ya juu sana na aina tofautitofauti katika ulinzi wa Rais. Huzungukwa na walinzi ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya kumlinda Rais.wapo tayari kuwa ngao ya RAIS zidi ya kihatarisha chochote kile cha usalama wa Rais awapo popote pale.

Sasa inapotokea Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu anatembea na kuzunguka Nchi mbalimbali na maeneo mbalimbali akiwa na silaha kiunoni pake ikiwa inaonekana hadharani kwa watu. Inakuwa ni tatizo kubwa sana kwa Rais Mwenyewe. Kwa sababu hata kama Rais akitaka kuwa na silaha kiunoni pake anaweza kufanya hivyo pasipo hata kuionyesha wala mtu yeyote yule kuiona.

Kwani viongozi wangapi wanatembea na silaha viunoni Mwao? Kwanini hawazioneshi na kuziweka hadharani? Sasa kwa huyu Rais kijana kufanya hivi inakuwa siyo jambo zuri wala la busara wala la kiuongozi wala la kiungwana katika Dunia hii ya Leo.

Ambayo mtu anaweza kukudhuru hata kwa kutumia kalamu tu ya kuandikia au nyaraka tu ambazo ukapewa uzisome. Ndio maana Majeshi yote Duniani kwote kwa sasa yanawekeza sana katika Teknolojia ya juu.huko ndiko ushindani umehamia na siyo katika kutembea na silaha kiunoni inayoonekana kwa watu.View attachment 3242595

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
You need to have a firm mental word with yourself — “You have no control over this, there is not a thing you can do go change it or stop it, but you CAN control how you act and react. This is my plan when i need to face it — i WILL control my emotion, i will co operate and i will go to bed tonight, proud of how i conducted myself today.” No tears , no tantrums, acceptance. :Sippin:
 
Huyo dogo ana ujuaji wa kishamba sana, sasa yeye kama nani ampangie jinsi ya kuvaa Rais wa Taifa lingine? Alikuja Fidel Castro hapa yeye alikuwa na bastola mbili kiunoni yeye anashangaa hiyo moja, kila mtu ana staili yake lakini mshamba ameona ni ishu hadi kuifungulia uzi hapa.
 
Huyo dogo ana ujuaji wa kishamba sana, sasa yeye kama nani ampangie jinsi ya kuvaa Rais wa Taifa lingine? Alikuja Fidel Castro hapa yeye alikuwa na bastola mbili kiunoni yeye anashangaa hiyo moja, kila mtu ana stsili yake lakini mshamba ameona ni shu hadi kuifungulia uzi hapa.
ameleta mjadala huru,tumemjibu amekosa cha kujibu ameufyata. Lucas Mwashambwa njoo bhana kuna soda nimekununulia uje uhoji kwa nini wanawake wanavaa ushungi hoja zako zijikite kwa unae muabudu.
 
Ana mentality za kijeshi kumbuka huyo ni mwanajeshi kweli kweli
Ndugu zangu Watanzania,

Rais na Mkuu wa Nchi ndiye kiongozi namba moja katika Nchi kupewa Ulinzi Mzito na mkubwa kila mahali awapo. Ndio jicho lote la vyombo vya ulinzi na usalama huelekeza na kupeleka umakini wake alipo Rais. Ulinzi wote wa kuonekana na usioonekana na wa kila aina ya teknolojia ni lazima uwekezwe kumzunguka Rais.

Rais hupewa walinzi makini, madhubuti, hodari,shupavu,imara , wazalendo na wenye mafunzo ya aina ya juu sana na aina tofautitofauti katika ulinzi wa Rais. Huzungukwa na walinzi ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya kumlinda Rais.wapo tayari kuwa ngao ya RAIS zidi ya kihatarisha chochote kile cha usalama wa Rais awapo popote pale.

Sasa inapotokea Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu anatembea na kuzunguka Nchi mbalimbali na maeneo mbalimbali akiwa na silaha kiunoni pake ikiwa inaonekana hadharani kwa watu. Inakuwa ni tatizo kubwa sana kwa Rais Mwenyewe. Kwa sababu hata kama Rais akitaka kuwa na silaha kiunoni pake anaweza kufanya hivyo pasipo hata kuionyesha wala mtu yeyote yule kuiona.

Kwani viongozi wangapi wanatembea na silaha viunoni Mwao? Kwanini hawazioneshi na kuziweka hadharani? Sasa kwa huyu Rais kijana kufanya hivi inakuwa siyo jambo zuri wala la busara wala la kiuongozi wala la kiungwana katika Dunia hii ya Leo.

Ambayo mtu anaweza kukudhuru hata kwa kutumia kalamu tu ya kuandikia au nyaraka tu ambazo ukapewa uzisome. Ndio maana Majeshi yote Duniani kwote kwa sasa yanawekeza sana katika Teknolojia ya juu.huko ndiko ushindani umehamia na siyo katika kutembea na silaha kiunoni inayoonekana kwa watu.View attachment 3242595

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais na Mkuu wa Nchi ndiye kiongozi namba moja katika Nchi kupewa Ulinzi Mzito na mkubwa kila mahali awapo. Ndio jicho lote la vyombo vya ulinzi na usalama huelekeza na kupeleka umakini wake alipo Rais. Ulinzi wote wa kuonekana na usioonekana na wa kila aina ya teknolojia ni lazima uwekezwe kumzunguka Rais.

Rais hupewa walinzi makini, madhubuti, hodari,shupavu,imara , wazalendo na wenye mafunzo ya aina ya juu sana na aina tofautitofauti katika ulinzi wa Rais. Huzungukwa na walinzi ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya kumlinda Rais.wapo tayari kuwa ngao ya RAIS zidi ya kihatarisha chochote kile cha usalama wa Rais awapo popote pale.

Sasa inapotokea Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu anatembea na kuzunguka Nchi mbalimbali na maeneo mbalimbali akiwa na silaha kiunoni pake ikiwa inaonekana hadharani kwa watu. Inakuwa ni tatizo kubwa sana kwa Rais Mwenyewe. Kwa sababu hata kama Rais akitaka kuwa na silaha kiunoni pake anaweza kufanya hivyo pasipo hata kuionyesha wala mtu yeyote yule kuiona.

Kwani viongozi wangapi wanatembea na silaha viunoni Mwao? Kwanini hawazioneshi na kuziweka hadharani? Sasa kwa huyu Rais kijana kufanya hivi inakuwa siyo jambo zuri wala la busara wala la kiuongozi wala la kiungwana katika Dunia hii ya Leo.

Ambayo mtu anaweza kukudhuru hata kwa kutumia kalamu tu ya kuandikia au nyaraka tu ambazo ukapewa uzisome. Ndio maana Majeshi yote Duniani kwote kwa sasa yanawekeza sana katika Teknolojia ya juu.huko ndiko ushindani umehamia na siyo katika kutembea na silaha kiunoni inayoonekana kwa watu.View attachment 3242595

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tangu lini jinga kama wewe likaelewa. Huyo ni mwanamapinduzi na siyo kama ng'ombe Yako. Jinga na mbwa wewe. Kufa Leo kwa mapenzi ya Mungu majinga na misukule ipungue nchini. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Back
Top Bottom