Sioni sababu ya muhimu ya Rais mwenye kuzungukwa na ulinzi mkali kufanya hivi. Kwa hili napingana naye

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Rais na Mkuu wa Nchi ndiye kiongozi namba moja katika Nchi kupewa Ulinzi Mzito na mkubwa kila mahali awapo. Ndio jicho lote la vyombo vya ulinzi na usalama huelekeza na kupeleka umakini wake alipo Rais. Ulinzi wote wa kuonekana na usioonekana na wa kila aina ya teknolojia ni lazima uwekezwe kumzunguka Rais.

Rais hupewa walinzi makini, madhubuti, hodari,shupavu,imara , wazalendo na wenye mafunzo ya aina ya juu sana na aina tofautitofauti katika ulinzi wa Rais. Huzungukwa na walinzi ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya kumlinda Rais.wapo tayari kuwa ngao ya RAIS zidi ya kihatarisha chochote kile cha usalama wa Rais awapo popote pale.

Sasa inapotokea Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu anatembea na kuzunguka Nchi mbalimbali na maeneo mbalimbali akiwa na silaha kiunoni pake ikiwa inaonekana hadharani kwa watu. Inakuwa ni tatizo kubwa sana kwa Rais Mwenyewe. Kwa sababu hata kama Rais akitaka kuwa na silaha kiunoni pake anaweza kufanya hivyo pasipo hata kuionyesha wala mtu yeyote yule kuiona.

Kwani viongozi wangapi wanatembea na silaha viunoni Mwao? Kwanini hawazioneshi na kuziweka hadharani? Sasa kwa huyu Rais kijana kufanya hivi inakuwa siyo jambo zuri wala la busara wala la kiuongozi wala la kiungwana katika Dunia hii ya Leo.

Ambayo mtu anaweza kukudhuru hata kwa kutumia kalamu tu ya kuandikia au nyaraka tu ambazo ukapewa uzisome. Ndio maana Majeshi yote Duniani kwote kwa sasa yanawekeza sana katika Teknolojia ya juu.huko ndiko ushindani umehamia na siyo katika kutembea na silaha kiunoni inayoonekana kwa watu.
Screenshot_20250219-133936_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Nasubiri kwa hamu hii movie ya G20.. nione wali portray nini mule ndani
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais na Mkuu wa Nchi ndiye kiongozi namba moja katika Nchi kupewa Ulinzi Mzito na mkubwa kila mahali awapo. Ndio jicho lote la vyombo vya ulinzi na usalama huelekeza na kupeleka umakini wake alipo Rais. Ulinzi wote wa kuonekana na usioonekana na wa kila aina ya teknolojia ni lazima uwekezwe kumzunguka Rais.

Rais hupewa walinzi makini, madhubuti, hodari,shupavu,imara , wazalendo na wenye mafunzo ya aina ya juu sana na aina tofautitofauti katika ulinzi wa Rais. Huzungukwa na walinzi ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya kumlinda Rais.wapo tayari kuwa ngao ya RAIS zidi ya kihatarisha chochote kile cha usalama wa Rais awapo popote pale.

Sasa inapotokea Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu anatembea na kuzunguka Nchi mbalimbali na maeneo mbalimbali akiwa na silaha kiunoni pake ikiwa inaonekana hadharani kwa watu. Inakuwa ni tatizo kubwa sana kwa Rais Mwenyewe. Kwa sababu hata kama Rais akitaka kuwa na silaha kiunoni pake anaweza kufanya hivyo pasipo hata kuionyesha wala mtu yeyote yule kuiona.

Kwani viongozi wangapi wanatembea na silaha viunoni Mwao? Kwanini hawazioneshi na kuziweka hadharani? Sasa kwa huyu Rais kijana kufanya hivi inakuwa siyo jambo zuri wala la busara wala la kiuongozi wala la kiungwana katika Dunia hii ya Leo.

Ambayo mtu anaweza kukudhuru hata kwa kutumia kalamu tu ya kuandikia au nyaraka tu ambazo ukapewa uzisome. Ndio maana Majeshi yote Duniani kwote kwa sasa yanawekeza sana katika Teknolojia ya juu.huko ndiko ushindani umehamia na siyo katika kutembea na silaha kiunoni inayoonekana kwa watu.View attachment 3242595

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe pambana na yako akina mama abdul, hayo ndio unayoyajua, hayo ya Traore muachie mwenyewe na Raia wake.
 
Sasa huoni kuwa Idd Amin kichwa chake kilikuwa na matatizo kichwani mwake. Si unaona alipoishia.
Ccm mlikuwa na Mwenyekiti wenu nae alikuwa anatembea na silaha kiunoni ; Je nyie mliomchagua na yeye mwenyewe vichwa vyemu vilikuwa Na matatizo? Huyo Traore ni Askari kutembea na silaha ni sehemu ya mavazi yake kama mama yenu Samia anavyotembea na kilemba!! Umeelewa wewe chawa Mwashambwa?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais na Mkuu wa Nchi ndiye kiongozi namba moja katika Nchi kupewa Ulinzi Mzito na mkubwa kila mahali awapo. Ndio jicho lote la vyombo vya ulinzi na usalama huelekeza na kupeleka umakini wake alipo Rais. Ulinzi wote wa kuonekana na usioonekana na wa kila aina ya teknolojia ni lazima uwekezwe kumzunguka Rais.

Rais hupewa walinzi makini, madhubuti, hodari,shupavu,imara , wazalendo na wenye mafunzo ya aina ya juu sana na aina tofautitofauti katika ulinzi wa Rais. Huzungukwa na walinzi ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya kumlinda Rais.wapo tayari kuwa ngao ya RAIS zidi ya kihatarisha chochote kile cha usalama wa Rais awapo popote pale.

Sasa inapotokea Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu anatembea na kuzunguka Nchi mbalimbali na maeneo mbalimbali akiwa na silaha kiunoni pake ikiwa inaonekana hadharani kwa watu. Inakuwa ni tatizo kubwa sana kwa Rais Mwenyewe. Kwa sababu hata kama Rais akitaka kuwa na silaha kiunoni pake anaweza kufanya hivyo pasipo hata kuionyesha wala mtu yeyote yule kuiona.

Kwani viongozi wangapi wanatembea na silaha viunoni Mwao? Kwanini hawazioneshi na kuziweka hadharani? Sasa kwa huyu Rais kijana kufanya hivi inakuwa siyo jambo zuri wala la busara wala la kiuongozi wala la kiungwana katika Dunia hii ya Leo.

Ambayo mtu anaweza kukudhuru hata kwa kutumia kalamu tu ya kuandikia au nyaraka tu ambazo ukapewa uzisome. Ndio maana Majeshi yote Duniani kwote kwa sasa yanawekeza sana katika Teknolojia ya juu.huko ndiko ushindani umehamia na siyo katika kutembea na silaha kiunoni inayoonekana kwa watu.View attachment 3242595

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Dogo acha porojo za hapa na pale jamvini. Yani wewe tukichukua nchi tutawasomba pamoja na machawa wenzako kuwapeleka mashamba ya ushirika kulima ghala la taifa lijae na kuneemesha.

Nyau de adriz
 
Ccm mlikuwa na Mwenyekiti wenu nae alikuwa anatembea na silaha kiunoni ; Je nyie mlichagua na yeye mwenyewe vichwa vyemu vilikuwa Na matatizo? Huyo Traore ni Askari kutembea na silaha ni sehemu ya bazillion lake kama mama yenu Samia anavyotembea na kilemba!! Umeelewa wewe chawa Mwashambwa?
Rais yupi hapa Nchini umewahi kuona akitembea na silaha kiunoni pake ikiwa inaonekana hadharani?

Unaposema Traole ni askari unamaanisha nini? Kwani Mheshimiwa Jakaya Kikwete hakuwa askari? Yoweli Museveni hakuwa askari? Rais wa Misiri hakuwa askari? Je umewahi kuona wakifanya hayo afanyayo huyo RAIS ?
 
Back
Top Bottom