Sioni Simba akishinda leo, Tabora United wanaitaka Tsh. Million 100

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Inaelezwa kuwa timu ya Tabora United imeahidiwa Tsh. Milioni 100 kama itamfunga Simba kwenye NBC PL leo, Februari 2, 2024.

Sioni Simba akishinda leo.

Screenshot_2025-02-02-11-43-18-645_com.twitter.android~2.jpg
 
Kuhaidiwa pesa ni jambo Moja na kuwa na kikosi chenye ubora kushinda mechi ni jambo jingine,,ukiwa na kikosi Bora utashinda mechi ata kama ujahaidiwa chochote,,sasa tabora wameahidiwa je wanacho kikosi cha kushinda mechi? Maandalizi yao yakoje? Ubora wa mchezaji mmojammoja ukoje? Mimi sio muumini wa hizi ahadi uwa naona kama ni upuuzi Fulani hivi kwakuwa mechi ziko 30 unaahidi kwenye mechi 2 zenye point 6 alafu nyingine unapiga kimya unapoteza point ndio nini icho!
 
Katika huu ulimwengu wa kubeti hakuna kinachoshindikana,,,,, moyo wa simba ni wachezaji watatu Camara, Ahoua na Kibu
 
Inaelezwa kuwa timu ya Tabora United imeahidiwa Tsh. Milioni 100 kama itamfunga Simba kwenye NBC PL leo, Februari 2, 2024.

Sioni Simba akishinda leo.

View attachment 3221992
Unaumwa dege dege...ama haujameza dawa zako BRONAZEPAM TABS

Simba iliyo mfunga mwarabu na kushika namba moja group stage afungwe na Tabora?

Simba yakimataifa hii uwekezaji mkubwa..timu kubwa..wachezaji wakubwa..Leo ndio mtajua hatubahatishi
 
Izo bonas za mech zipo kwa timu zote, Ata ao Simba wana Bonas zao kama timu ikishinda au kutoa Sare.
Binas zinapanda kulingana na ukubwa wa mechi.
Bahati mbaya kuna wapuuzi wakiona timu za daraja la kati ziki ahidiwa dau kubwa zinapocheza na vigogo wana kereka na kuona hawastaili.
Kuna timu mfano Simba, imekua ikiahidiwa bonas kubwa pindi ichezapo na Yanga na kwa mechi nne mfululizo wamekua wakipoteza.

Mara ya Mwisho , Mwekezaji aliwaahidi kila mchezaji atapata fedha ya kumfanya au age umaskini lakini bado walifungwa na Yanga.
 
Hujui kitu dogo. Wachezaji wa Simba wameshafungwa matofali miguuni na kipa amefungwa mikononi matofal.subir dk 90
 
Izo bonas za mech zipo kwa timu zote, Ata ao Simba wana Bonas zao kama timu ikishinda au kutoa Sare.
Binas zinapanda kulingana na ukubwa wa mechi.
Bahati mbaya kuna wapuuzi wakiona timu za daraja la kati ziki ahidiwa dau kubwa zinapocheza na vigogo wana kereka na kuona hawastaili.
Kuna timu mfano Simba, imekua ikiahidiwa bonas kubwa pindi ichezapo na Yanga na kwa mechi nne mfululizo wamekua wakipoteza.

Mara ya Mwisho , Mwekezaji aliwaahidi kila mchezaji atapata fedha ya kumfanya au age umaskini lakini bado walifungwa na Yanga.
1000230482.jpg
 
Back
Top Bottom