Sioni Simba akishinda leo, Tabora United wanaitaka Tsh. Million 100

Sioni Simba akishinda leo, Tabora United wanaitaka Tsh. Million 100

Dogo unajitanua mikono mabega madogo
Una chochote Cha kuzungumza ๐ŸŽค ๐ŸŽ™๏ธ ๐ŸŽค ๐ŸŽ™๏ธ ๐ŸŽค ๐ŸŽ™๏ธ

Usitolee macho mwanaume akiwa na Jambo lake..

๐Ÿ˜Šโ˜บ๏ธ๐Ÿ˜Šโ˜บ๏ธ
 
Inaelezwa kuwa timu ya Tabora United imeahidiwa Tsh. Milioni 100 kama itamfunga Simba kwenye NBC PL leo, Februari 2, 2024.

Sioni Simba akishinda leo.

View attachment 3221992
Wawaulize wenzao Singida sijui big fountains waliahidiwa milioni 500 zaidi hata ya pesa ya ubingwa lakini wapi. Na wanaoahidi sio vichwa maji kama wewe hapo, wanajua kabisa pesa yao iko salama
 
Uongozi Ufanye Haraka Kumpa Stahiri Yake Ya Ban, Kabla Hajapoa
 
Toeni huo mwiko huko kwenye sehemu ya kukalia ili akili ziwarudi
 
ed68f29ab764462c919091cd09ec5888.jpg
 
Izo bonas za mech zipo kwa timu zote, Ata ao Simba wana Bonas zao kama timu ikishinda au kutoa Sare.
Binas zinapanda kulingana na ukubwa wa mechi.
Bahati mbaya kuna wapuuzi wakiona timu za daraja la kati ziki ahidiwa dau kubwa zinapocheza na vigogo wana kereka na kuona hawastaili.
Kuna timu mfano Simba, imekua ikiahidiwa bonas kubwa pindi ichezapo na Yanga na kwa mechi nne mfululizo wamekua wakipoteza.

Mara ya Mwisho , Mwekezaji aliwaahidi kila mchezaji atapata fedha ya kumfanya au age umaskini lakini bado walifungwa na Yanga.
Umeandika kitu unachokijua kwelii! Kwamba bonus za Gsm ili Simba ifungwe zipo na Simba pia.

Nitajie hata mechi moja ya Yanga ambayo walijitokeza wadau wakaweka dau ili Yanga ifungwe.

Ina maana furaha ya wadau wote nchi nzima ni Simba kufungwa tu.

Hizi hela zinawaponza na kuwatia presha na matokeo yake ni kufungwa.

Nb: Hao mnaowawekea dau wana vikosi vya kuweza kuifunga Simba?
 
Back
Top Bottom