Sioni Simba akishinda leo, Tabora United wanaitaka Tsh. Million 100

Dogo unajitanua mikono mabega madogo
Una chochote Cha kuzungumza 🎀 πŸŽ™οΈ 🎀 πŸŽ™οΈ 🎀 πŸŽ™οΈ

Usitolee macho mwanaume akiwa na Jambo lake..

😊☺️😊☺️
 
Inaelezwa kuwa timu ya Tabora United imeahidiwa Tsh. Milioni 100 kama itamfunga Simba kwenye NBC PL leo, Februari 2, 2024.

Sioni Simba akishinda leo.

View attachment 3221992
Wawaulize wenzao Singida sijui big fountains waliahidiwa milioni 500 zaidi hata ya pesa ya ubingwa lakini wapi. Na wanaoahidi sio vichwa maji kama wewe hapo, wanajua kabisa pesa yao iko salama
 
Uongozi Ufanye Haraka Kumpa Stahiri Yake Ya Ban, Kabla Hajapoa
 
Toeni huo mwiko huko kwenye sehemu ya kukalia ili akili ziwarudi
 
Umeandika kitu unachokijua kwelii! Kwamba bonus za Gsm ili Simba ifungwe zipo na Simba pia.

Nitajie hata mechi moja ya Yanga ambayo walijitokeza wadau wakaweka dau ili Yanga ifungwe.

Ina maana furaha ya wadau wote nchi nzima ni Simba kufungwa tu.

Hizi hela zinawaponza na kuwatia presha na matokeo yake ni kufungwa.

Nb: Hao mnaowawekea dau wana vikosi vya kuweza kuifunga Simba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…