Darucha
Senior Member
- Dec 28, 2020
- 111
- 211
Mnaomponda baba levo kwa kumuita chawa kwa diamond hivi hammuoni h baba. Kiufupi H Baba naye anajipendekeza kwa Harmonize ili kutetea ugali wake wa kila siku mbaya zaidi jamaa anavuka mipaka kwa kusema yeye ni msanii Bora namba mbili tz baada ya harmonize kusema kweli huyu jamaa watz tumepigwa za uso mchana kweupe afadhali na baba levo kidogo tunaweza kusema anaenfluence lakini h baba yy no kumponda mond tu kweli nimeamini ukosefu wa ajira no janga kwa taifa zima